Ikumbukwe kuwa chadema ina makao makuu pale mitaa ya ufipa na chama kinatumia zaidi ya milioni 30 kwa mwezi kama kodi ya pango kwenye nyumba hiyo.
Pamoja na kwamba makao makuu ya chama yapo...
Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu.
Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi...
Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji.
Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mpango wa maendeleo endelevu UNSDCF utaipatia Tanzania msaada wa Fedha kiasi cha shil.Tilioni 4.3 kwa miaka 7 ijayo kuanzia...
Wananchi wa Bagamoyo waishukuru Serikali ya CCM. Ni baada ya miaka kadhaa ya sintofahamu kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliositishwa kutokana na viongozi wa awamu ya tano kukosa ten percent...
===
Reli ya SG ikikamilika bila uwepo wa bandari ya uhakika kama Bagamoyo tegemeeni malori mengi kupaki
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 tu...
==
"Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho...
Baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao zikieleza kuwa kampuni ya Home Shopping Centre imefunga maduka yake kutokana na kukwepa kodi na kuhusika kwenye sakata la makontena yaliyopotea...
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea...
KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA CDE. VICTORIA MWANZIVA AKUTANA NA WAHAMASISHAJI UVCCM NGAZI YA TAWI
27.03.2022 - Dar-Es-Salaam
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa...
Askofu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dr Mdegela amesema maaskofu wasifikiri kwamba Vijana wa leo hawajitambui kama wale wa zamani.
Mdegeka alikuwa anaongelea mgogoro wa Dayosisi ya Konde na...
"Ibara ya 118 ya ilani ya uchaguzi ya CCM inaeleza Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimu na kulinda misingi ya demokrasia na haki za binadamu kwa ajili...
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs...
Hivi mnawajua vizuri hawa wanaojiita GSM Group of Companies?
Kabla ya kuitwa GSM mwanzo walikua akina nani?
Unazifahamu ofisi zao makao makuu?
Umejiuliza ni kwanini walianzisha GSM Foundation...
Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya.
===
Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20...
Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea...
Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe...
Nimeshangazwa na Kitendo cha DPP na DCI kupinga BW. Paul Makonda Kushtakiwa.
Najiuliza:
Je, Bw. Makonda Yupo Juu ya SHERIA?
Je, Bw Makonda ana kinga ya Kutoshtakiwa?
Bw Makonda huyo huyo ana...
Mwamba wa siasa za Tanzania , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , leo ametangaza kufanya uzinduzi mzito sana wa kampeni ya JOIN THE CHAIN...
Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo:
I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.