Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa...
10 Reactions
374 Replies
28K Views
Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25...
20 Reactions
140 Replies
10K Views
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015...
18 Reactions
185 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Agustino Mrema leo Machi 28, 2022 amemtambulisha rasmi Mkewe Doreen Kimbi katika ukumbi wa Keys hoteli uliopo Moshi. Mwenyekiti wa chama cha...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salum Mwalimu , leo ameendesha zoezi la Join The Chain Unguja na kupokea Vitita vizito kutoka kwa viongozi wa Chadema kanda ya Unguja . Join The Chain ni Mkakati wa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Waliokuwa Katika Picha Hii na Ndilo lilikuwa Baraza la Wazee wa TANU (Wengine: Hawapo) [*=left]Abdallah Shomari (Tandamti No. 3) [*=left]Nassoro Kalumbanya (Simba)...
35 Reactions
2K Replies
225K Views
Wakati huo Nyerere alikuwa Yanki tu wa miaka 37 au 38 lakini alikuwa akitema madini ya hatari. Wanasiasa vijana wa leo mna la kujifunza namna ya kufanya midahalo, solution ni kujisomea sana...
34 Reactions
112 Replies
22K Views
Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Ningekuwa ni mpinzani wa kweli ningesema kweli daima kwamba wananchi hawahitaji katiba mpya sasa zaidi ya wanavyohitaji maji, umeme na huduma bora za afya na elimu. Nikiwa kama mpigakura sihitaji...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nilimsikiliza Freeman Mbowe, ana kiu ya katiba mpya. Nikamsikiliza Tundu Lisu, ana kiu ya katiba mpya. Nikamsikiliza Hamad Rashid, haitaji katiba mpya. Nikamsikiliza Zitto Kabwe, ana kiu ya...
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na...
20 Reactions
44 Replies
6K Views
Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach. Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya...
37 Reactions
171 Replies
13K Views
Back
Top Bottom