johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,957
Askofu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dr Mdegela amesema maaskofu wasifikiri kwamba Vijana wa leo hawajitambui kama wale wa zamani.
Mdegeka alikuwa anaongelea mgogoro wa Dayosisi ya Konde na kusema KKKT wamebobea kwa kuvunja Katiba zai wenyewe na hawana mifumo yiyote ya kushughulikia migigoro pindi inapojitokeza.
Amesema hata vyama vya siasa vina migogoro ya kikatiba ndio maana Chadema hawajui wabunge wao wa viti maalumu wameingiaje bungeni na CCM nako haieleweki aliyeshika namba 6 kura ya maoni kafikaje bungeni.
Kadhalika Mdegela amesema yeye mwaka 1995 alimchagua Mrema kwenye uchaguzi mkuu na baadae aliitwa na Mkapa na kupigwa mkwara.
Hata hivyo 2015 alimchagua Edward Lowassa.
Askofu Mdegela amesema hayati Magufuli amefanya kazi kubwa lakini mzee Lowassa angefanya kazi kubwa zaidi.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!