UN Kuipatia Tanzania msaada wa Tsh. Trilion 4.3

UN Kuipatia Tanzania msaada wa Tsh. Trilion 4.3

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,516
Reaction score
14,187
Nawasalimu kwa jina la JMT..

Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mpango wa maendeleo endelevu UNSDCF utaipatia Tanzania msaada wa Fedha kiasi cha shil.Tilioni 4.3 kwa miaka 7 ijayo kuanzia mwaka wa Fedha wa 2022/2023..

Ikumbukwe pesa hizi zitakuwa zinaingizwa kwenye mpango wa bajeti wa kila mwaka.

Hakika Mama SSH unaupiga mwingi,Tanzania tushindwe wenyewe sio kwa mapesa haya.

Screenshot_20220326-161448.png


Screenshot_20220324-211504.png


Screenshot_20220324-211518.png
 
Nawasalimu kwa jina la JMT..

Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mpango wa maendeleo endelevu UNSDCF utaipatia Tanzania msaada wa Fedha kiasi cha shil.Tilioni 4.3 kwa miaka 7 ijayo kuanzia mwaka wa Fedha wa 2022/2023..

Ikumbukwe pesa hizi zitakuwa zinaingizwa kwenye mpango wa bajeti wa kila mwaka.

Hakika Mama SSH unaupiga mwingi,Tanzania tushindwe wenyewe sio kwa mapesa haya.

View attachment 2165140

View attachment 2165141

View attachment 2165142
Mungu ametenda, aendelee kuibariki Tanzania...
Amen.
P
 
We hiz zina impact gan kwako. Au ndo mtagawana huko wizarani
 
Ni sawa na milion milion 4 na laki tatu😂😂😂 ni tupesaa haswa
 
Wazungu uwasaidia waafrika Ili wao wapate baraka zaidi thus anapokea uzidi kuwa masikini zaidi kuliko anaetoa
 
Back
Top Bottom