Home Shopping Centre: How do they do business?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.

Mnasemaje:

Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?

Je, niwe makini na yepi?

Je, naweza kusevu kiasi gani?

Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
 
Mkuu nafikiri hilo swali ukimpa Kitilya anaweza kukupa ushauri mzuri, wengine tutakudanganya
 
naisi harufu ya kukwepa ushuru hapa

na adhabu yake ni hii
photo_verybig_102190.jpg
 
Yeah tumia hyo HSC jamaa ni wazuri sana kwani nilienda china wana yard na maghala ya kutosha halafu hyo kampuni kuna mkono wa mzee wa kuruka anga ndio maana tra wanapeta,tumia tu aina tatizo mzigo ukiingia utapigiwa simu,vp unaleta nywele bandia au dawa za kukuzia makalio?
 
Hata mimim nimesikia kwa watu wafanya biashara wawili wana watumi hao jamaa na wanalipa ushuru mdogo sana.
wana ofisi china.
 
HSC wamejipanga vizuri wala hamna mkono wa mkubwa pale. Wana ofisi huko China na wanasafirisha in bulk kwa hiyo garama zinapungua. Jamaa kwa kweli wamejipanga..ila hilo la mkubwa nimekuwa nikiona kwa any successfull business lazima mkubwa ahusishwe..
 
hii thread ilivyovamiwa hadi nimeogopa..sasa hayo mafisadi yanayomiliki hoteli na kubadilisha majian kila siku mnayafanya nini nao? au nyie ndio kama CBE
 
hii thread ilivyovamiwa hadi nimeogopa..sasa hayo mafisadi yanayomiliki hoteli na kubadilisha majian kila siku mnayafanya nini nao? au nyie ndio kama CBE
lisemwalo lipo, naona kila mmoja hapa anawaelekeza kwenye rushwa.
HSC wamejipanga vizuri wala hamna mkono wa mkubwa pale. Wana ofisi huko China na wanasafirisha in bulk kwa hiyo garama zinapungua. Jamaa kwa kweli wamejipanga..ila hilo la mkubwa nimekuwa nikiona kwa any successfull business lazima mkubwa ahusishwe..
hapo kwenye red yaweza kuwa sawa mkuu lakini kuna makampuni makubwa yaliyo na facilities kubwa mara hata kumi zaidi ya hizo na wamekuwa kwenye biashara ya mizigo tena kwa muda mrefu lakini mbona hawasemwi semwi!! ...au ndio ile slogan ya "it is our time to eat"!?

 
i hope check now uone gharama zikoje huenda kuna exemption wanapata na wewe ikakusaidia.
Unachohitaji mzigo wako ufike kwa gharama kidogo ili u-maximise profit.

Simamia show mkuu usiogope.
 
Tax avoidance is paying the minimum amount of tax using all available legal ... The tax avoidance is not against the law, but the tax evasion is illegal and against the law.
 
Na mimi nimewasikia sana hao HSC

Tena nimesikia pia kuwa TBS siku hizi eti wameweka wakaguzi huko China ili bidhaa feki zisije. Sasa wafanyabiashara kibao mizigo yao imekwama huko, maana mzigo inabidi ukakaguliwe kiwandani. Na Chaina nchi kubwa na wafanyabiashara wanaogopa kuji commit malipo halafu mzigo ukutwe sio. Sasa kasheshe kweli kweli maana hao agents wa TBS wapo wachache.

Hii ina ukweli???
 
Back
Top Bottom