Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika sheria za utumishi wa umma tunaambiwa kuwa Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini haruhusiwi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa muda wa kutumikia...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Na Bwanku M Bwanku. Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Huyu mzee wa Msoga kwenye Elimu alitisha Sana, Fikilia SSH amejenga madarasa elfu15 kwa pesa ya mkopo kutoka IMF, kwa iyo idadi ni madarasa kidogo Sana kwa nchi Kama Tanzania. Serikali ya JPM...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Leo hii Kassimu Majaliwa anashangaa kuona mkulima anakatwa sh 805/- kwa Kila kilo ya kahawa? Hivi hili lilitakiwa lifanyike na kutolewa maamuzi na Waziri Mkuu? Maafisa huna hapo mkoani? Mrajisi...
0 Reactions
2 Replies
532 Views
Unajua kuwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wana kipato kikubwa kuliko wale wa Arusha na Kilimanjaro? Takwimu za BoT zinaonyesha wale wa Kagera ndio masikini zaidi na bado hawajafika uchumi wa kati...
14 Reactions
267 Replies
18K Views
Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja...
18 Reactions
109 Replies
7K Views
Wanabodi, Hii ndio Ripoti ya kitaalamu iliyotoa go ahead mchanga wa dhahabu uendelee kusafirishwa nje kwa hoja kuwa Tanzania hatuwezi!. Kwa vile hii ni ripoti ya kitaalamu, na mimi sio mtaalamu...
24 Reactions
124 Replies
18K Views
Wanajamvi kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia zoezi hili naona kinachotokea ni Mkanganyiko Mkubwa na Vurugu tupu kuanzia kwenye ajira za hawa vijana, mafunzo hadi utendaji kazi. Nimeshindwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo...
3 Reactions
91 Replies
13K Views
Katika hali ya kustaajabisha kabisa, mfanyabiashara maarufu hapa nchini ambaye anahisiwa kupata utajiri kwa utata utata, anayemiliki kampuni ya gsm bwana Ghalib S. Mohamed ametumia nguvu ya pesa...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo. Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya...
13 Reactions
81 Replies
5K Views
Job saga. Ili ni vugu vugu ambalo wote tumekuwa mashuhuda kwani limeweka historia kwa nchi. Baada ya kuwa na spika wa kwanza kujiuzulu akiwa madarakani. Je, unafahamu Cambridge anlytica saga...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu. Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi. Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI ASEMA NA VIJANA.* #AlipoMamaVijanaTupo #2022JiandaeKuhesabiwa #KaziIendele ======= "Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni...
0 Reactions
7 Replies
855 Views
Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
“Kwa Zitto msiwe na wasiwasi Rais JK alishamaliza kazi “ kila aliehudhuria kile kikao aliposikia Zitto ni mwenzetu alihamaki kidogo na kikao hicho kilifanyika Iringa eneo maalumu na kilihudhuriwa...
17 Reactions
104 Replies
4K Views
IKULU - ZANZIBAR Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza Mh.Tony Blair katika...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa...
10 Reactions
374 Replies
28K Views
Back
Top Bottom