Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo:
I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka...
Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo...
Twende kwenye mada Bila kupoteza mda.
Kumekuwa na taarifa kwamba Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la USAID inapanga kuwapa shirikisho la asasi za kiraia-Azaki pesa kiasi cha dola za...
Wasalaam,
Nimekua nikijiuliza maswali mengi sana kuhusiana na mustakabali wa nchi hii na maendeleo yajayo ya watoto na wajukuu zetu.
CCM imekua madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate...
Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo.
Kenya katika ukanda huu wa...
MAENDELEO YA VITU, MAENDELEO YA WATU,YOTE NI MAENDELEO YA BINADAMU.
Leo 13:30hrs 11/10/2020
Ni suala la yai na kuku, bila ya vitu kwa maana ya Miundo mbinu kama Reli, barabara, Umeme,Viwanja vya...
Asalam Alleykhum , baada ya Salamu ningependa wewe ndugu yangu katika Haki , Uwe wa Kwanza kufahamu kwamba yule Shehe anayesifika kwa kupigania haki bila uoga kwenye Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu...
Amani iwe juu yenu.
Leo nimesikitishwa sana na hoja za wenyeviti vya uvccm wilaya za Kinondoni, Ubungo na kigamboni kwa hoja zao tatu zifuatazo:
1. Wanaccm hawa wanaipinga Katiba mpya kwa nguvu...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar...
Kijana huyu mdogo pia ni Diwani Mstaafu wa Kata ya Ramadhani , alikamatwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa amri ya Wakubwa , na kupewa kesi ya uongo ya mauaji , na kusukumizwa selo bila dhamana...
Naomba ni declare interest kuwa, mimi ni mmoja wa wataalam wanaouhusika na ishu iyo ya mchanga.
Kifupi naomba nieleze kile ambacho kipo kwenye makontena. Kilichopo kwenye makontena kwa asilimia...
MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.
𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢...
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.
Anasema siku hiyo...
Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi.
Amesema...
Kuna mjadala unaoendelea kuhusu nchi kukopa au kutokukopa. Kama mwananchi wa kawaida nani ningependa kutoa mtazamo wangu kwa faida ya wote.
Kwanza ni muhumu ikafahamika kwamba HAKUNA nchi duniani...
Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri.
Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda...
Kufuatia Sheria Mpya ya Madini ya Mwaka 2009; moja ya mambo ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi ni suala la uchenjuaji wa mchanga wa madini unaofanywa nje ya nchi!
Kwavile hapo kabla serikali...
Hawa viongozi wa west wamekuwa wabinafsi sana kwa miaka mingi, wametunyonya sana kwenye ukoloni baadae wakaona hakuna namna ya kuweza kuendelea kututawala kwa maguvu wakatupa uhuru wa bendera huku...
WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA...
MADIWANI MOSHI WASEMA HAKUNA CHANGAMOTO YOYOTE KWA MSTAHIKI MEYA WAO, BALI NI UCHU WA MADARAKA WA BAADHI YA WATU WASIOKUWA NA MAADILI
Na Mwandishi Wetu
Katika hali ya kustaajabu kundi la wasaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.