Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo...
9 Reactions
99 Replies
9K Views
Hili neno limekuwa maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya 6, lini litafika mwisho na lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua! Mafuta ya kula juu, petroli ndo balaa, mbolea, yaani...
3 Reactions
0 Replies
716 Views
Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii. Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Rais Samia amesema kufuatia tatizo la kukatika katika Umeme kuanzia kwenye ujenzi wa Bwawa la Nyerere na maeneo mengine ya uwekezaji serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau. Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema...
35 Reactions
198 Replies
13K Views
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba. Kikwete alisema Dr Mvungi alikuwa anapiga...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
MKATABA WA KIMATAIFA WA HAKI ZA KIRAIA NA KISIASA (ICCPR) Tanzania imeridhia mkataba huu mwaka 1976, na hivyo inawajibika kisheria kufuata masharti ya mkataba huo. Kifungu cha 19 cha mkataba huo...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha...
9 Reactions
74 Replies
7K Views
Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF. Jionee mwenyewe "Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Wanabodi, Miongoni mwa vitu vingumu kwa binadamu kufanya, ni kumeza kidonge kichungu, ili apone ugonjwa unao msumbua!. Hata awe hapendi vipi kumeza kidoge hicho, ni lazima tuu atakimeza, na hata...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaweza kubisha lakini ndio ukweli wenyewe. Kuna kundi kubwa la watu linapenda ukweli lakini kwa bahati mbaya chama cha wasema ukweli na kutenda hakipo. Kwa kuwa Dr Slaa ni msema kweli kama...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Nimefikiria kuwa kwa vile Dowans watalipwa no matter what kama nilivyosema miaka karibu mitatu iliyopita na kwa vile malipo haya inaonekana yatatokea kabla ya kikao kijacho...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Na Flora Mwakasala MAHAKAMA ya Rufaa imetupilia mbali ombi la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) la kusimamisha utekelezaji wa hukumu ya Mahakama Kuu, iliyoamuru wailipe Sh bilioni 94 kampuni...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!. Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business Hillary Clinton's State...
25 Reactions
148 Replies
33K Views
Godfrey Dilunga Januari 12, 2011 MCHAMBUZI wa nadharia za kisiasa na mwanafalsafa wa Roma ya Kale, Marcus Tullius Cicero, anayesifika kubuni maneno, hasa misamiati katika Kilatini, amepata...
0 Reactions
56 Replies
14K Views
Baada ya kuupitia vizuri mkataba wa TANESCO na Richmond wa June 2006, na baadaye nikaupitia mkataba wa Dowans na TANESCO wa December 2006, pamoja na madudu yote ambayo Richmond waliyafanya dhidi...
0 Reactions
134 Replies
12K Views
Wakuu, ngoma bado mbichi? See the latest 'music'
29 Reactions
89 Replies
10K Views
Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…