Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa nini shule zetu za kata zinakufa? Na nini kifanyike tuzi-inue shule zetu za kata? Kwa hali ya sasa, shule zetu za kata zipo kwa ajili ya kundi maskini au kundi la wasiojiweza. Sidhani kama...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu...
6 Reactions
256 Replies
25K Views
Leo Rais akihutubia sikukuu ya wanawake Duniani ametaja Sababu ya kupanda kwa bidhaa nchini kwamba ni kutokana na vita ya uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukurain ingawa ukweli bidahaa imeanza kupanda...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Serikali ilitangaza kuondoa tozo ya TZS 100/= kwenye mafuta sasa wameirejesha tena wakidai bado bei ya mafuta inapanda, Swali ninalojiuliza ni kwamba kuna unafuu gani...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni. Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, "Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi" Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu...
2 Reactions
11 Replies
723 Views
Wakati wa Mwalimu Nyerere hatukusikia wala kuona hivi vituko vinavyotokea siku hizi,hata alipokuja Ali Hassani Mwinyi, Mkapa na yalianza kuchomoza kidogo wakati wa Kikwete na yamekuwa na kukuzwa...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Kiukweli Wizara ya Nishati ni ngumu sana. Nakumbuka mzee Lowassa alipoteza Uwaziri Mkuu kutikana na fitna zilizojaa katika Wizara hii. Ngeleja alitunishiana msuli na askofu Kakobe katika wizara...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba kiongozi huyo wa chama cha upinzani nchini Uganda , ambaye ndiye chaguo la wananchi wa Uganda ( isipokuwa vyombo vya dola ), amefika nchini Tanzania kwa lengo la...
17 Reactions
47 Replies
4K Views
CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni. Spika amesema bungeni...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Nimeshangazwa na kauli ya Rais juzi kwa wakazi wa KLM kuwa ametusamehe. Nikauli ambayo inaonesha wazi Rais alikuwa na nyongo kubwa moyoni mwake juu ya wakazi hawa. Inabidi Mh Rais utueleze wazi...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Hili taifa la wamarekani wamefanya mission kubwa sana ulimwenguni tangu kuundwa kwake. Kuanzia kuanguka kwa Urusi, Kuanguka kwa Yugoslavia, Kuanguka kwa Sadam Hussein, Kuanguka kwa Muamar Gadaffi...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wananchi tuna sababu ya kuwa na mashaka. Diesel na Petrol soko la dunia bei ikipanda serikali inapandisha bei, kwetu vilio. Kumbe hata tozo ya 100/- tuliyoaminishwa, haikuwahi kuondolewa. Hivi...
1 Reactions
4 Replies
701 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, imetaifisha mali zenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 1.2 na kuweka zuio la fedha kiasi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Toka Chama cha Mapinduzi kuundwa mwaka 1977 kimepita baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union na Afro - Shiraz, CCM imekuwa Imara, Bora na yenye mshikamano kuanzia...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Tanzania kupitia Bohari kuu ya Dawa (Msd), imesaini mkataba wa makubaliano ya kusambaza dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa...
10 Reactions
67 Replies
13K Views
Back
Top Bottom