JF EXCLUSIVE: DOWANS vs TANESCO, the saga continues! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF EXCLUSIVE: DOWANS vs TANESCO, the saga continues!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Aug 17, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Wakuu, ngoma bado mbichi?

  See the latest 'music'
   

  Attached Files:

 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Safari ni ndefu...
   
 3. 2

  2simamesote Senior Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yamekua hayo tena? So TANZAGIZA kama kawaida
  T-Taifa
  A-Ambalo
  N-Ni
  Z-Zembe
  A-Afrika
  N-Nyerere
  I-Ilimshinda
  A-Akangatuka
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  CCM na serikali yake wasipoondoka madarakani nchi haitaendelea .. i swear
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mambo moto moto
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Mkuu, CCM hapa itafanya nini kweli? Hawawezi kufanya lolote, pendekezo letu la awali la TANESCO kujitangaza mufilisi lilikuwa na maana japo lilipuuzwa!

  Kama CHADEMA au hata CUF wanaweza kuwalaumu CCM kwa hili (la leo) basi watwambie the way forward (wangefanya nini wao katika hali kama hii)
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  asante invisible
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  JF is alive... Vidudu mtu watulie tupo tunapambana na kila jiwe litageuzwa na wanaopambana nayo wajue Watanzania wa leo si wa mwaka 47 na hata serikali ya sasa si ile ya kushindana na upepo.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu hapa CCM sijui itatokajetokaje..kuna gemu wanachezeana wao kwa wao humo ndani.. kuhusu Chadema kwenye jambo kama hili kuwa wangefanya nini .. nina uhakika chama makini kama chadema kisingefanya uzembe wa kuingia kwenye janga kama hili .. na kama wangeingia katika hali kama hii basi ingebidi wafanye maamuzi magumu . ccm hawawezi kufanya maamuzi magumu sio kwamba hawataki au hawapendi .. ni kwamba hawawezi na yapo nje ya uwezo wao
   
 10. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ila tutafika na tunaendelea kupanda magogo waliyoweka barabarani na kusonga mbele. Keep it up Invisible
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  May be I'm too fat (literally), but really I kind of find it hard to digest anything thru from that hot pot overflowing with legalese, let alone be nourished by it!! :( pls, can someone good with this kind of things mash it up for us?! Thanx.
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  (e) The decision of the arbitrator shall be final and binding upon the Parties, and shall not be subject to appeal. Either Party may petition any court having jurisdiction to enter judgment upon the arbitration award. At the request of either of the Parties, the arbitrator shall cause such arbitration award to be filed with the High Court of Tanzania.

  (f) The Parties waive any right to challenge or contest the validity or enforceability of this arbitration agreement or any arbitration proceeding or award brought in conformity with this Section, including any objection based on venue or inconvenient forum.​  Hapa ndipo CCM na serikali yake ilipo ingiza Taifa hili mkataba wa mashaka, wanaweza kuuza nchni hawa jamaa, nashangaa mpaka leo aliyekuwa Mwanasheria wa Serikali hajachukuliwa hatua watu wanacheka cheka tu asubuhi hadi jioni.​
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Halafu utakuta washabiki wa EL na RA wakidai tuonyeshe hata sehemu moja ambayo hawa mabingwa wametuibia..
  Ni aibu kubwa maanake hata kujivua magamba wameanza kusema sii lazima ati Tanzania ina matatizo mengine mengi zaidi ya kujivua magamba.. You know what I WISH JK angekuwa na Courage japo kidogo na kuwamaliza hawa wote waliohusika na Richmond/Dowans.

  He is the President na kesha chaguliwa na wananchi by all means atafika 2015 na hawa jamaa wasimfanye lolote... Yeye ndiye kashika mpini na ktk maneno yake mwenye kesha sema - USIOGOPE kitu chochote unapotumikia jambo jema kwa nchi yako..ni maneno mazito ambayo anatakiwa ayafanyie kazi na sii kuongea tu.
  - Akikosa muda huu nina mashaka sana na maisha yake baada ya 2015! yaani sijui kalogwa na alomloga kesha kufa au kitu gani....
   
 14. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  May someone please explain what this is all about?
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  You should have at least laid out your understanding or what you think is the implied meaning of the quoted statements, because you could have taken them out of their legal context, msee.
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sina zaidi ya kumuomba Allah atufanyie wepesi maana huko tuendako sijui kama tutasalimika


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Focus your discussion and mind to be objective to the matter on the table, quoted Para are self-explanatory; unless you have neurosis mind of yours!
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkandara,
  Mimi siyo mshabiki wa RA wala EL,ila tu kuhusu suala la Dowans,sitaunga mkono msimamo au mapendekezo ya kamati ya bunge na ninakuhakikishia kuwa hakuna mahakama yoyote ya biashara itakayounga mkono hatua serikali iliyochukua kufuatia mapendekezo ya kamati ya bunge.
  There's nothing here that can covict Dowans of anything.....wa kuwakaba ni hao kina RA,EL,Ngeleja et al watuambie what happened.Other than tha,it's just a waste of time.
   
 19. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Not necessarily, especially given the kind of legal language aka legalese applied here. The statements provided appear to be open to interpretation. That being said, you'll need to clarify as to the particular context(s) these statements allude to (according to you), and your own understanding of their legal meanings and/or consequences.
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hivi ruling ya High Court Tanzania ilishatolewa? Kama bado, halafu hawa matapeli wanaanzisha shauri jingine huko nje nadhani itakuwa ni sarakasi za kisheria!
  Hawa Dowans wanafanya haya kwa kushirikiana na watanzania wenzetu, hapa dawa ni kuchapana bakora baadhi ya watu wakatafute hifadhi ya ukimbizi huko wanakoficha vijisenti vyao. Natamani ile sheria ya uhujumu uchumi ingefufuliwa kutoka makabrasha ya Hayati Sokoine, tusingeona upuuzi kama huu.
   
Loading...