Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu...
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".
å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile...
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa.
Wamedai...
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza...
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Kabla ya uteuzi...
Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu...
Wana bodi,
Kiukweli kabisa, baadhi ya maamuzi ya taasisi za umma za serikali ya Magufuli ni shaghalabaghala!, yanaonyesha hakuna coordination kati ya serikali na taasisi zake, haiwezekani...
Januari Makamba ameandika barua kwenda kwa Ngeleja kumuuliza juu ya ahadi zake hewa za kumaliza tatizo la umeme!
Source: Gazeti mtanzania leo!
Download attachment ya barua HAPA
Na Bwanku M Bwanku.
Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili...
Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa...
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa...
Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto.
Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa...
Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa,
Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu.
Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi...
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
MAELEZO YA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU CP. SALUM RASHID HAMDUNI WAKATI WA KUKABIDHI TAARIFA YA UTENDAJI KAZI YA MWAKA 2020/2021 KWA MHE. SAMIA SULUHU...
Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha.
Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei...
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza amewataka viongozi na wafuasi wa Chadema wanaodai simu zao zinashikiliwa na polisi kwa zaidi ya miezi 5 sasa wafike ofisini kwake aweze kuwasaidia.
Akiongea na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.