Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,221
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
 
Ni muhimu ; Tanganyika ikarudi kwenye nafasi yake ili kuwe na uwanja sawa kwa nchi mbili zilizoungana.... Vinginevyo ni usanii mtupu, unaofaidisha viongozi huku kubaguana kupitia watendaji, kukiendelea kimya kimya.
 
Bado nafikiria sana, ni Bora itangazwe Kama nchi inayojitegemea bila huo wa ofisi ya VP
 
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.

Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
duh
 
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda unguja,baada ya kufika bandari kivukoni,nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau....
Mbona inakuwa shida kueleweka mkuu, au?

Ulipofika bandarini, Dar, NIDA ikakataliwa, kwamba hawaitambui. Ulipofika Zenji, wanaitambua?

Sasa haya mambo wakati mwingine tusiyakuze sana, kumbe ni ukiritimba tu unaotokea maofisini na kwingineko sehemu zote za nchi, na siyo Zanzibar pekee.

Tukio kama hili huwezi kuliwekea 'heading' kama hiyo uliyotumia hapo juu kwenye mada yako.
 
Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake

Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.

Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.

Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Mwanangu aliniuliza kuhusu muungano, akasema kama Kuna Zanzibar kwenye union je Tanganyika nayo IPO??

Nikajifanya sijasikia, nikawazaaa, akauliza tena nikanyamaa, akahiji husikii, nikajistua, nikamwambia kule ni Tanzania Zanzibar au Tanzania island na bara ni Tanzania Mainland, swali lilibaki pale pale...je Tanganyika IPO haipo???

Nikataka nimzibue, nikamuuliza nitafutie rais wa Tanganyika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom