Ushauri: Mikoa yote Tanzania inayopakana na nchi nyingine iongozwe kijeshi

Blackafrica

Senior Member
Jun 26, 2021
141
401
Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu kutoka kwa wanajeshi wetu.

Tunaweza kukusanya kodi na kufanya biashara kikamilifu, lakini pia kuzuia wahamiaji haramu, na biashara za magendo.

Pesa nyingi nchi hii inapoteza kwa kutokulinda ipasavyo mipaka ya nchi ni uchochoro wa wahamiaji haramu na biashara za magendo, kwa kiasi kikubwa zimeshamiri kutokana na ukweli kwamba jeshi la polisi na jeshi la uhamiaji hawajaweza kusimamia kikamilifu hii mikoa kuzuia mambo yote hayo.

Kwahyo ni bora wapewe wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha hakuna cha wahamiaji haramu wanaoingia nchi mwetu na hakuna cha biashara za magendo

Pia ufanyike msako mkali wa kuondoa raia wa kigeni ambao kiukweli wameshamiri sana katika mikoa ya mipakani haswa Kigoma na Kagera.

Hii mikoa ukitembelea unaweza kusema upo Burundi au Rwanda katika watu kumi watu wanne ni raia wa kigeni ambao wanaishi Tanzania kama wenyeji kabisa,

Hapa ndio unaweza kuona hii nchi ni shamba la bibi wengine ni viongozi kabisa wa kuchaguliwa au kuteuliwa very sad
 
Naunga mkoqno hoja, hao jamaa huwa wananifurahisha kwa ule utamaduni wao wa kutokuwa na blah blah......ni matendo tu!
 
Hivi hii dhana kuwa mwanajeshi hali rushwa huwa mnaipatiaga wapi.?
Wanaamini jeshini hakuna rushwa.

Waondoe vyombo vingine vyote,vya ulinzi na usalama,waachie jeshi,uone watu watakavyoanza kuanika maovu yao.
 
Ni ujinga na upumbavu wa baadhi ya watu.Wanaamini jeshini hakuna rushwa.Waondoe vyombo vingine vyote,vya ulinzi na usalama,waachie jeshi,uone watu watakavyoanza kuanika maovu yao.
Hivi uliwaona wapi wakila rushwa?
 
Content ime eleweka,acha kukaza KICHWA.

Ni manispaa mkoa ni Kilimanjaro unataka kusemaje.
Wacha kushabikia upimbi wa huyo mleta mada, utaandikaje mkoa wa Moshi kama hujasoma shule ya msingi bwana?
 
Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu kutoka kwa wanajeshi wetu.

Tunaweza kukusanya kodi na kufanya biashara kikamilifu, lakini pia kuzuia wahamiaji haramu, na biashara za magendo.

Pesa nyingi nchi hii inapoteza kwa kutokulinda ipasavyo mipaka ya nchi ni uchochoro wa wahamiaji haramu na biashara za magendo, kwa kiasi kikubwa zimeshamiri kutokana na ukweli kwamba jeshi la polisi na jeshi la uhamiaji hawajaweza kusimamia kikamilifu hii mikoa kuzuia mambo yote hayo.

Kwahyo ni bora wapewe wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha hakuna cha wahamiaji haramu wanaoingia nchi mwetu na hakuna cha biashara za magendo

Pia ufanyike msako mkali wa kuondoa raia wa kigeni ambao kiukweli wameshamiri sana katika mikoa ya mipakani haswa Kigoma na Kagera.

Hii mikoa ukitembelea unaweza kusema upo Burundi au Rwanda katika watu kumi watu wanne ni raia wa kigeni ambao wanaishi Tanzania kama wenyeji kabisa,

Hapa ndio unaweza kuona hii nchi ni shamba la bibi wengine ni viongozi kabisa wa kuchaguliwa au kuteuliwa very sad
issue hapa nadhani siyo mikoa hii kuongozwa kijeshi, bali inahitaji kuwa na viongozi wachapa kazi na waadilifu
 
Back
Top Bottom