Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,326
- 8,239
Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa,
Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu.
Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi.
Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania.
Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe mara mbili. Tuwape nawaziri wawili.
Waziri anayependa mafuta na gesi apewe mafuta na gesi. Ninahakika akipewa hii wizara ya mafuta na gesi, anaweza kuwa catalyst ya kuikuza hii sekta ya mafuta na gesi kwa uharaka hapa Tanzania.
Swala la umeme, tutafute mtu mwingine.
Najua kuna watu watapinga lakini huu ndio ukweli. Watu watasema TPDC wanafanya nini.
Elewa mara zote mtu aliyejuu ndio mwenye maamuzi yote ya chini. Kama akiamua kutotoa motivation usidhani kunakitu kitafanyika kwa hawa wa chini.
Maamuzi ya TPDC yanaanzia wizarani.
Ndio maana nilikua nawaza kama tukipata waziri anayependa hizo gesi, akashikiria gesi tu muda wote, naona kama tunaweza kutembea kifua mbele kwa uharaka.