Mbunge Peter Msigwa unaongoza kwa unafiki nchini

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
2,782
2,000
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,641
2,000
nadhani kati ya malofa yote ya ccm humu ndani basi wewe unaweza kuwa namba 1.kama sivyo basi tatu bora ya malofa ya lumumba utakuwepo.
umeenda huko kutafuta kauli moja tu afu unaconclude.
Listen siku moja moja jaribu kutoa mada yenye msaada kwa taifa.sio kila siku chadema chadema.unadharaulika.kuna mada nyingi anzisha za kumsaidia magufuli na serikali.sio vyama.vyama vinapita lakin taifa linaishi mpaka Mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,962

Umeandika ujinga mtupu kama primary kids!!!Hiv hii ni hadithi au vioja!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC

GUI1

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
3,050

Mkuu sahihi but knowledge is dynamic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,962
2,000
nadhani kati ya malofa yote ya ccm humu ndani basi wewe unaweza kuwa namba 1.kama sivyo basi tatu bora ya malofa ya lumumba utakuwepo.
umeenda huko kutafuta kauli moja tu afu unaconclude.
Listen siku moja moja jaribu kutoa mada yenye msaada kwa taifa.sio kila siku chadema chadema.unadharaulika.kuna mada nyingi anzisha za kumsaidia magufuli na serikali.sio vyama.vyama vinapita lakin taifa linaishi mpaka Mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipumbavu sana kila siku ni kuleta mada za kijinga tu.....sijui slowly anavitoa wapi
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninachokijua na nina uhakika nacho kwa 100% ni kwamba ukishaitwa tu Mtanzania basi tayari una ' Tunu ' ya ' Unafiki ' uliotukuka ndani yake / yako hivyo Kumtuhumu Mtu mmoja pekee ni Kielelezo tosha ni jinsi gani hata Wewe Mleta ' Uzi ' kuwa ni ' Pacha ' wa ' Unafiki ' wa huyo Mbunge unayemtuhumu hapo / hapa.
 
Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
2,782
2,000
nadhani kati ya malofa yote ya ccm humu ndani basi wewe unaweza kuwa namba 1.kama sivyo basi tatu bora ya malofa ya lumumba utakuwepo.
umeenda huko kutafuta kauli moja tu afu unaconclude.
Listen siku moja moja jaribu kutoa mada yenye msaada kwa taifa.sio kila siku chadema chadema.unadharaulika.kuna mada nyingi anzisha za kumsaidia magufuli na serikali.sio vyama.vyama vinapita lakin taifa linaishi mpaka Mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa tu unafiki wenu umewekwa hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,641
2,000
labda kama hujui maana ya siasa.kwani Magufuli anavyokumbatia kina Rostam na Lowasa ambao wanajuliakana mambo yao sio unafiki.

Tuache hayo mara moja moja tungependa kuona unaleta hapa mada za kiasa au kijamii zenye utaifa mbele ili hata kama ni waziri husika asome na kujifunza kitu toka kwako.sasa hizi vyama vinapita tu.Tuangalie Tanzania yetu.Tanzania ni mimi na wewe.lakin mimi sio ccm,wewe zio Chadema wala Act laki wote ni Watanzania.Tuweke utanzania mbele.Nadhani hili ni jambo la msingi zaidi.
Kwa kuwa tu unafiki wenu umewekwa hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,402
2,000
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo wewee asubuhi hii fanya kazi
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
2,782
2,000
Lzm kwanza tumalize unafiki wenu
labda kama hujui maana ya siasa.kwani Magufuli anavyokumbatia kina Rostam na Lowasa ambao wanajuliakana mambo yao sio unafiki.

Tuache hayo mara moja moja tungependa kuona unaleta hapa mada za kiasa au kijamii zenye utaifa mbele ili hata kama ni waziri husika asome na kujifunza kitu toka kwako.sasa hizi vyama vinapita tu.Tuangalie Tanzania yetu.Tanzania ni mimi na wewe.lakin mimi sio ccm,wewe zio Chadema wala Act laki wote ni Watanzania.Tuweke utanzania mbele.Nadhani hili ni jambo la msingi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,800
2,000
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU".

å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile kwa kuwafahamu na si kuwa dharilisha.

Naamini haya kupitia kauli za Mh. Peter Msigwa Kabla ya, wakati Wa na baada ya.

å KABLA LOWASSA HAJAIHAMA CCM.

" Atakae muunga Mkono LOWASSA akapimwe akili haraka"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA( WAKAT WA KAMPEN)

"LOWASSA ndiye suluhisho la dhuluma na Maendeleo hafifu ya taifa hili tangu Uhuru, chagua LOWASSA chagua CHADEMA"
~Peter Msigwa~

å BAADA YA LOWASSA KURUDU NYUMBANI "CCM".

" Kama kunajambo la maana kubwa LOWASSA ameifanyia CHADEMA ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM "
~Peter Msigwa~

Kwa maana hio nikwamba wafuasi wao wamewakabidhi viongozi vichwa vyao na kutaka wao wafikiri kwa niaba yao, hio ndio sababu wao kukosa msimamo Wa hoja zao, wapo tayari kuambiwa lolote bila kufikiri.
Kabla Mh. Mkapa hajafanya ubatizo huu matendo yao yalikwisha kosa uelekeo.
Na hio ndio tafsiri halisi ya neno na mtu LOFA.

"Tumia haki yako ya kuchagua ukipendacho, usiache mtu afikiri kwa niaba yako, kataa ULOFA kwa kuichagua CCM 2019/2020"

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha
Binafsi nakuunga mkono kwa hoja hii upinzani wanatakiwa wajifunze sana kusimama na watu safi wasije kuingia mkumbo wa kisiasa kama huo.

Naufananisha na kauli ya rais juu ya kufungua mahakama ya mafisadi wakati leo anawakumbatia kwa furaha zote.
Naona vita yake juu ya ufisadi imeingia ganzi.
Ama kweli mdomo huponza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
7,039
2,000
Vipi kuhusu wakina polepole na prof kabudi kwa zile kauli zao wakati wa kuandaa katiba mpya na mambo wanayozungumza sahivi....
Kuna unafiki kama huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,854
2,000
Kwa hiyo hata Mbowe ni mnafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona hujazungumzia unafiki wa raisi magufuli kuhusu Koroshow... alisema angezibangua baada ya cku mbili leo mwezi wa ngapi wengi hawajalipwaa? akiulizwa anataja pesa iliyotumika badala ya idadi ya walioliolipwa!
anasema amelipa madai ya walimu kumbe ni ulongo mtu anadai ml 1 wewe unamlipa laki 1?
anatafuta wenye vyeti feki bashite kamuacha.
serikali inafungia magazeti Tanzanite linaachwa likitukana na kujenga chuki
anapambana na rushwa pembeni yupo na rostam azizi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom