Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

Mkoa_wa_Tabora_Muda_huu_watu_wapo_Tayari_kumsikiliza_Mh._Tundu_Lissu_JOIN_THE_CHAIN..jpg


Mtwara:
Mtwara_washaanza_kuingia_Ukumbini.%0A%0AJOIN_THE_CHAIN.jpg



Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .

YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD


Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .

Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
 
Lisu na Lema wanafanya nini Ulaya?

Ni kazi gani inayowaingizia kipato huko
Wao ni wakimbizi wa kisiasa kwa vigezo vyote vya kimataifa,na ukichangia na kesi ya Mwenyekiti Mbowe inaongeza uhalali wa kuwa wakimbizi,kwa mabalozi wamehudhuria mahakamani na wamejionea udhaifu/ukandamizaji wa haki kwenye mahakama na serikali kwa ujumla. Kwa hiyo wanatunzwa Kama wakimbizi wote wanavyotunzwa.
 
Wamekaa kama vile kanisa la walokole
🤣🤣
Hawana nyimbo hao....

Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....

Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! 🤣🤣
 
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....

Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!!
una mawazo membamba mno !
 
Wao ni wakimbizi wa kisiasa kwa vigezo vyote vya kimataifa,na ukichangia na kesi ya Mwenyekiti Mbowe inaongeza uhalali wa kuwa wakimbizi,kwa mabalozi wamehudhuria mahakamani na wamejionea udhaifu/ukandamizaji wa haki kwenye mahakama na serikali kwa ujumla. Kwa hiyo wanatunzwa Kama wakimbizi wote wanavyotunzwa.
Wakimbizi eee?!! 🤣🤣

NATO imemkimbia swahiba wao Rais wa Ukraine mwenye nguvu zote itakuwa kwa wakimbizi hao?!!!

Huko waliko MKATE , SIAGI NA ULINZI UPO...ukishapata hayo tu wanakusahau 🤣🤣🤣

#Siempre JMT🙏
#Viva CCM🙏
 
Back
Top Bottom