Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa...
4 Reactions
9 Replies
824 Views
C.E.O wa Shishi Food ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Shilole, amesema nje ya ndoto yake ya kuja kuwa Mbunge analo ombi kwa Rais Magufuli akimuona anafaa basi walau amteue kuwa Mkuu wa Wilaya...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakika wewe ni mtu mwema kwa dhati. Umerudisha tabasamu kwa wale waliopoteza hisa ya haki, Umerudisha tabasamu kwa kile ambacho Mungu hupenda au kuchukia kile ambacho Mungu huchukia. Umeweza...
0 Reactions
4 Replies
570 Views
Wana Jf Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu. Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA. Leo 12:20hrs 21/03/2021 Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo...
23 Reactions
19 Replies
3K Views
KUABUDU MTU NA MATOKEO YAKE! FEBRUARI 25, 1956, Katibu Mkuu wa Chama cha Komunisti, Nikita Krushchev, alitoa hotuba maarufu iliyoitwa “The Personality Cult and Its Consequences” – “Kuabudu Mtu na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Endeleeni kusema gesi gesi gesi Jionee mwenyewe
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeona thread ya invisible https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266433-mkulo-maige-ngeleja-kikaangoni-takukuru.html Inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na...
28 Reactions
133 Replies
21K Views
RAIS SAMIA AMEONGEZA ZAIDI YA MSHAHARA KWA WAFANYAKAZI. Na: Suphian Juma Katika Taifa letu la Tanzania kama ilivyo mataifa mengine, hakika kundi la 'Wafanyakazi' ni moja ya makundi muhimu sana...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
WATUMIAJI wa simu za mkononi nchini sasa watalazimika kuumia zaidi kufuatia hatua ya Bunge kupendekeza kuanzishwa kodi mpya ya kadi za simu za mkononi (Sim-Card), inayolenga kukusanya kiasi cha sh...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao...
209 Reactions
636 Replies
78K Views
Hakiwahutubia wanaCCM wa kisiwa cha Pemba, Dkt Shein amesema ahadi alizozitoa katika kampeni za uchaguzi uliopita atazitekeleza kwani ahadi zake hazikuwa za kuombea kura tu bali kuzitekeleza kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Igweeeeee Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom