"..Ahadi zangu hazikuwa hewa..." Rais wa Zanzibar Dkt. Shein

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Hakiwahutubia wanaCCM wa kisiwa cha Pemba, Dkt Shein amesema ahadi alizozitoa katika kampeni za uchaguzi uliopita atazitekeleza kwani ahadi zake hazikuwa za kuombea kura tu bali kuzitekeleza kwa vitendo. Ahadi hizo ni kuboresha miundombinu kisiwani Pemba na Zanzibar kwa ujumla, kituo cha Televisheni Zanzabar, na nyinginezo.Dkt Shein amesema pesa zipo kutekeleza ahadi hizo.

Chanzo cha habari: Redio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar, Kati ya Saa 11 na 12 jioni hii.
 
Huyo alikuwa Rais wa Zanzibar, Je, Wa Jamhuri ya watu wa Tanzania "tutafsiri" ya Hotuba yake ya juzi juzi kuwa ndivyo atakavyotekeleza ahadi zake?
 
Back
Top Bottom