Badala ya machinga kuwekwa kwenye mkondo wa maji Jangwani serikali ifanye yafuatayo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa maji, kwanini tunajiandaa kutoa kafara Watanzania wenzetu?

Mimi naomba nimkumbushe Mhe. Rais Ni kiasi gani Cha fedha za walipa Kodi zimetumika bila tija.
1. Ndani ya eneo la kilomita zisizozidi tatu Kuna Soko la Kariakoo ambalo amesema limetengewa fedha, Kuna Soko jipya Kisutu,Kuna Soko la magomeni, Kuna karume, Kuna buguruni, Kuna machinga complex. Haya ni masoko yaliyorundikwa karibu na City center Jambo ambalo linaenda kinyume kabisa na ukuaji wa miji ikiwemo dar. Hizi fedha zinazorundikw Jangwani na Kariakoo zinakosa kazi?

2. Eneo la jangwani baada yakufanyiwa utafiti wa kimazingira Ni wazi siyo sehemu ya uwekezaji. Mwendo Kasi walitumia mabilioni ya wananchi lakini majengo hayatumiki baada ya magari kujaa maji. Leo mwendokasi wamehamia Ubungo, magari yalale ubungo lakini machinga na mitaji yao midogo walaze bidhaa Jangwani, are we serious. Hizi Ni fedha za umma lazima tuzitumie kwa uangalifu.

Nini kifanyike?
Hakuna machinga anayefanya kazi Kariakoo anaishi Kariakoo na viunga vyake, Hawa watu wanatoka mbagala, Chanika, mbezi, tegeta nk Kama watu Hawa wanatoka upcountry kwenda karikoo na Kariakoo tunaona pamejaa Basi tutafute suluhisho ambalo Ni;

1. Mbezi Luis hakuna soko, maeneo yapo Tena kwa Bei nafuu Sana, tujenge soko kubwa mbezi Luis kuzuia watu kwenda Kariakoo wapate bidhaa karibu. Kariakoo yawepo maduka makubwa yakununua bidhaa nakupeleka masoko madogo

2. Tegeta kuelekea Bagamoyo hakuna soko, kwanini tusijenge soko kubwa huko?

3. Mbagala hakuna kuelekea mkuranga hakuna soko, kwanini tusijenge soko huko?

4 Gongo la mboto Chanika hakuna soko, tunapeleka mabilioni Jangwani yakafanye Nini?

5. Kigamboni hakuna soko, kwanini tukazoe mchanga na kujenga soko Jangwani?

Endapo tutajenga masoko niliyoainisha naamini tutatumia fedha kidogo kupanua huduma, tutapunguza foleni isiyo ya lazima Kariakoo, tutalifanya soko la Kariakoo kupanuka na kuwa soko la kimataifa ambapo bidhaa za jumla zitapatikana, tutazisaidia halmashauri kupanuka na kukusanya mapato kwa wingi lakini pia miji itatanuka na kukua.

Tukumbuke kwamba tunaomradi mkubwa mwendokasi ambao itatusaidia Sana kupeleka watu wachache na kwa staha mjini huku miundombinu hiyo ikitumika kurudisha bidhaa nyingi kwenye masoko.

Lakini pia utaratibu huu ukifanyika hata bodaboda watapungua kwa sababu watu wanaoingia mjini asubuhi watapungua , mitaa itapitika na mji utakuwa na hadhi.

Nikuombe Mama yetu Samia Suluhu Hasani ,kauli yako yakujenga soko la machinga Jangwani ifute badala yake elekeka masoko yajengwe kwenye maeneo niliyotaja utakumbukwa na vizazi vijavyo kwa kuwaokoa vijana na mafuriko lakini pia kwa kurihusu huduma kusogea karibu na wananchi. Jifunze kwa mwendokasi lakini pia jaribu kuvuta picha kipindi Cha masika Hali inakuwaje hapo unapotaka kupeleka watoto wa wenzio?
 
Umeongea point ya msingi Sana,utitiri wa uwekezaji city centre hauwezi kuwa na tija Kwa uchumi endelevu wa nchi yetu. Leo umepeleka stendi mbezi,lakini ufikirii kupanua huduma kwa wasafiri na wakazi wake Kwa ujumla,kuna faida kubwa sana ya mbezi kujengwa soko.

Tujaribu kuvuta kumbukumbu kabla ya stendi kuhamia ubungo,mnaikumbuka ubungo ya wakati huo?

Pia itachangia huduma za msingi kusogea Kwa wananchi,mfano mpaka leo imekuwa hadithi kujengwa Kwa barabara ya mbezi-bunju via mwabwepande,ambapo unampa unahisi mwananchi kufika mapema kwenye uzalishaji na kuongezea selikari mapato pia kupunguza foleni.

Tunakuwa na utitiri wa miladi mkakati isiyo na tija Kwa taifa,mimi nadhani huu ndio wakati sahihi wa nchi kuita wadau wakae na kuratibu namna nzuri ya kuandaa miradi mkakati ya muda mfupi na mrefu Kwa maslahi mapana ya maendeleo ya nchi yetu.

Tukiamua tunaweza.
 
Kariakoo ni sehemu ya biashara,kupeleka wafanyabiashara kwingine all these years has not been successful, they keep coming back....we need permanent solution,ku modernize Kariakoo so it can accommodate hao wafanyabiashara is one of the strategies....

Kuhusu mji kukua I think hao waliomshauri mama they had this in mind na ndio maana wameweka hesabu kwa soko la Kariakoo wafanya biashara watakua 2000 tu kati ya wafanya biashara wote,wengine wote wataenda sehemu nyingine .....hii number itakua wameona wataimudu haitawa affect kwenye budget yao,haita affect mazingira, na haitakua affected na ongezeka la watu ama external forces nyinginezo....

I agree though Jangwani is not safe,unless kupatikane designer haswaaa wa kujenga juu ya maji alna mvua kubwa ikinyesha, ni wazo ambalo liko possible ila hatujui sababu gani wanataka kujenga hapo, mimi nahofia kipindu pindu to meh...

Hapo kujenga masoko mengine Kigamboni,Mbagala mimi naona masoko sio yajengwe sehemu ambazo zinazoonekana zinahitaji masoko Bali sehemu zenye mzunguko wa pesa,umesema wanaouza Kariakoo wanaishi sehemu nyingine mbona hujiulizi kwa nini huko kigamboni mtu asiweke meza auze? Huko mbagala anakotoka hamna wateja? Jibu Kariakoo ana uhakika wa kuuza, kwa hio kuwajengea sehemu nyingine ni ngumu kwao kukaa ingawa nakubali wasambazwe kwenye sehemu nyingine pia....
 
Haya ndy mawazo. Kuntu.lakini watapita humu kama mwanga wa radi. Viongozi wengi kufikiri either ni wVivu ama hawana ufahamu ama hufikiri vibaya ili kesho na kesho wale tena mabilioni hayo...
 
Hivi kama mtu mmoja anaweza akawaza pointi za msingi Kama hizi, akaone solution nzuri na yenye tija Kama hii hawa wataalam wa serikali na wanasiasa bongo zao zinakuwa na tatizo gani?

Unachokisema kina mifano hai kabisa, ubungo palijaa watu wengi Sana kabla ya stendi kuhamishiwa huko Mbezi, leo hii pita ubungo hakuna changamoto ya machinga, bodaboda Wala foleni watu wamehama na kwenda biashara ilipo ambapo ni Mbezi. Awali tukiaminishwa Ubungo ni kitovu cha biashara tukasau hakuna kitovu cha biashara Bali kuna miundombinu ya kibiashara inayovuta watu kukutana kununua na kuuza.

Mama Kama ulivyoshauriwa achana na kuteketeza pesa Jangwani tafuta pesa Jenga masoko makubwa nje ya mji kupunguza msongamano mjini.

Vinginevyo kama mna agenda ya Siri kuhusu hao machinga
 
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa maji, kwanini tunajiandaa kutoa kafara Watanzania wenzetu?

Mimi naomba nimkumbushe Mhe. Rais Ni kiasi gani Cha fedha za walipa Kodi zimetumika bila tija.
1. Ndani ya eneo la kilomita zisizozidi tatu Kuna Soko la Kariakoo ambalo amesema limetengewa fedha, Kuna Soko jipya Kisutu,Kuna Soko la magomeni, Kuna karume, Kuna buguruni, Kuna machinga complex. Haya ni masoko yaliyorundikwa karibu na City center Jambo ambalo linaenda kinyume kabisa na ukuaji wa miji ikiwemo dar. Hizi fedha zinazorundikw Jangwani na Kariakoo zinakosa kazi?

2. Eneo la jangwani baada yakufanyiwa utafiti wa kimazingira Ni wazi siyo sehemu ya uwekezaji. Mwendo Kasi walitumia mabilioni ya wananchi lakini majengo hayatumiki baada ya magari kujaa maji. Leo mwendokasi wamehamia Ubungo, magari yalale ubungo lakini machinga na mitaji yao midogo walaze bidhaa Jangwani, are we serious. Hizi Ni fedha za umma lazima tuzitumie kwa uangalifu.

Nini kifanyike?
Hakuna machinga anayefanya kazi Kariakoo anaishi Kariakoo na viunga vyake, Hawa watu wanatoka mbagala, Chanika, mbezi, tegeta nk Kama watu Hawa wanatoka upcountry kwenda karikoo na Kariakoo tunaona pamejaa Basi tutafute suluhisho ambalo Ni;
1. Mbezi Luis hakuna soko, maeneo yapo Tena kwa Bei nafuu Sana, tujenge soko kubwa mbezi Luis kuzuia watu kwenda Kariakoo wapate bidhaa karibu. Kariakoo yawepo maduka makubwa yakununua bidhaa nakupeleka masoko madogo

2. Tegeta kuelekea Bagamoyo hakuna soko, kwanini tusijenge soko kubwa huko?

3. Mbagala hakuna kuelekea mkuranga hakuna soko, kwanini tusijenge soko huko?

4 Gongo la mboto Chanika hakuna soko, tunapeleka mabilioni Jangwani yakafanye Nini?

5. Kigamboni hakuna soko, kwanini tukazoe mchanga na kujenga soko Jangwani?

Endapo tutajenga masoko niliyoainisha naamini tutatumia fedha kidogo kupanua huduma, tutapunguza foleni isiyo ya lazima Kariakoo, tutalifanya soko la Kariakoo kupanuka na kuwa soko la kimataifa ambapo bidhaa za jumla zitapatikana, tutazisaidia halmashauri kupanuka na kukusanya mapato kwa wingi lakini pia miji itatanuka na kukua.

Tukumbuke kwamba tunaomradi mkubwa mwendokasi ambao itatusaidia Sana kupeleka watu wachache na kwa staha mjini huku miundombinu hiyo ikitumika kurudisha bidhaa nyingi kwenye masoko.

Lakini pia utaratibu huu ukifanyika hata bodaboda watapungua kwa sababu watu wanaoingia mjini asubuhi watapungua , mitaa itapitika na mji utakuwa na hadhi.

Nikuombe Mama yetu Samia Suluhu Hasani ,kauli yako yakujenga soko la machinga Jangwani ifute badala yake elekeka masoko yajengwe kwenye maeneo niliyotaja utakumbukwa na vizazi vijavyo kwa kuwaokoa vijana na mafuriko lakini pia kwa kurihusu huduma kusogea karibu na wananchi. Jifunze kwa mwendokasi lakini pia jaribu kuvuta picha kipindi Cha masika Hali inakuwaje hapo unapotaka kupeleka watoto wa wenzio?

Vyote ulivyovisema ni muhimu sana. Vifanyike, Hongera.

Sambamba na hayo mapendekezo, Lakini pia mjini lazima tuwe ma matabaka yote, (matajiri na maskini), wote wapangwe na wapangiwe maeneo mazuri.

Changamoto za mafuriko, mkondo wa maji ni ndogo sana. Any serious architecture anaweza ku-design kazi nzuri tu, iliyo na mvuto. Imagination is the key.

1636085252390.png
 
Wamachinga wengi ni vijana, watafutaji, wachapa kazi, wanaojitahidi kujiendeleza kwa kuongeza kipato chao, kuisadia familia zao.

Wengi wetu tungeweza kuwa machinga mazingira yetu yangekuwa tofauti.

Muhimu sana tushikiriane nao, kijana yoyote mchapakazi apewe nafasi, mazingira sahihi kustawi, kukua ajione pia ni sehemu muhimu kwa taifa.

Hakuna better altelnative.
 
Venice ipo juu ya maji!

Miji mingi inapitiwa na mikondo ya maji ulaya. Halafu hiyo ndio hot cakes.

Changamoto ndogo tu, ni kuyadhibiti na ku-direct haya maji hadi baharini.

Tuna wakina mfugale wengine au siyo? Kama hatuna tuwaajiri waliojenga Venice.

Ustaraabu maana yake ni kudhibiti kuyapanga mazingira yanayotuzunguka kwa faida ya wanaoishi karibu, Watanzania wengi, wote.
 
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa maji, kwanini tunajiandaa kutoa kafara Watanzania wenzetu?

Mimi naomba nimkumbushe Mhe. Rais Ni kiasi gani Cha fedha za walipa Kodi zimetumika bila tija.
1. Ndani ya eneo la kilomita zisizozidi tatu Kuna Soko la Kariakoo ambalo amesema limetengewa fedha, Kuna Soko jipya Kisutu,Kuna Soko la magomeni, Kuna karume, Kuna buguruni, Kuna machinga complex. Haya ni masoko yaliyorundikwa karibu na City center Jambo ambalo linaenda kinyume kabisa na ukuaji wa miji ikiwemo dar. Hizi fedha zinazorundikw Jangwani na Kariakoo zinakosa kazi?

2. Eneo la jangwani baada yakufanyiwa utafiti wa kimazingira Ni wazi siyo sehemu ya uwekezaji. Mwendo Kasi walitumia mabilioni ya wananchi lakini majengo hayatumiki baada ya magari kujaa maji. Leo mwendokasi wamehamia Ubungo, magari yalale ubungo lakini machinga na mitaji yao midogo walaze bidhaa Jangwani, are we serious. Hizi Ni fedha za umma lazima tuzitumie kwa uangalifu.

Nini kifanyike?
Hakuna machinga anayefanya kazi Kariakoo anaishi Kariakoo na viunga vyake, Hawa watu wanatoka mbagala, Chanika, mbezi, tegeta nk Kama watu Hawa wanatoka upcountry kwenda karikoo na Kariakoo tunaona pamejaa Basi tutafute suluhisho ambalo Ni;
1. Mbezi Luis hakuna soko, maeneo yapo Tena kwa Bei nafuu Sana, tujenge soko kubwa mbezi Luis kuzuia watu kwenda Kariakoo wapate bidhaa karibu. Kariakoo yawepo maduka makubwa yakununua bidhaa nakupeleka masoko madogo

2. Tegeta kuelekea Bagamoyo hakuna soko, kwanini tusijenge soko kubwa huko?

3. Mbagala hakuna kuelekea mkuranga hakuna soko, kwanini tusijenge soko huko?

4 Gongo la mboto Chanika hakuna soko, tunapeleka mabilioni Jangwani yakafanye Nini?

5. Kigamboni hakuna soko, kwanini tukazoe mchanga na kujenga soko Jangwani?

Endapo tutajenga masoko niliyoainisha naamini tutatumia fedha kidogo kupanua huduma, tutapunguza foleni isiyo ya lazima Kariakoo, tutalifanya soko la Kariakoo kupanuka na kuwa soko la kimataifa ambapo bidhaa za jumla zitapatikana, tutazisaidia halmashauri kupanuka na kukusanya mapato kwa wingi lakini pia miji itatanuka na kukua.

Tukumbuke kwamba tunaomradi mkubwa mwendokasi ambao itatusaidia Sana kupeleka watu wachache na kwa staha mjini huku miundombinu hiyo ikitumika kurudisha bidhaa nyingi kwenye masoko.

Lakini pia utaratibu huu ukifanyika hata bodaboda watapungua kwa sababu watu wanaoingia mjini asubuhi watapungua , mitaa itapitika na mji utakuwa na hadhi.

Nikuombe Mama yetu Samia Suluhu Hasani ,kauli yako yakujenga soko la machinga Jangwani ifute badala yake elekeka masoko yajengwe kwenye maeneo niliyotaja utakumbukwa na vizazi vijavyo kwa kuwaokoa vijana na mafuriko lakini pia kwa kurihusu huduma kusogea karibu na wananchi. Jifunze kwa mwendokasi lakini pia jaribu kuvuta picha kipindi Cha masika Hali inakuwaje hapo unapotaka kupeleka watoto wa wenzio?
Hii ni thread bora ya kufungia mwaka. Natumaini wahusika wanapita hapa na kuichukua na kuifanyia kazi bila kuongeza wala kupunguza.
 
Maji yanahamishika ni uzembe wa serikali kutopata wataalum sahihi. Wawape waislael au wachina wanayqamisha fasta tuu.
 
Back
Top Bottom