Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu) Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh...
49 Reactions
176 Replies
11K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD) ambayo inafanyika leo Mei 3, 2022 Jijini Arusha. Kabla ya Rais Samia kuanza...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote. Akizungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungeni...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Je wa jua Kuwa wenye The highest Qualification in Port and Shipping ya Yaani CHARTERD SHIPBROKER wapo 4000 na East Africa 180 na Kenya ni 178 na Tanzania 2 tu Leo hapa Channelten kupitia MADA...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Utangulizi Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo. Mambo Mawili 1. Kushamiri...
53 Reactions
145 Replies
8K Views
Nawasalimu wanajukwaa. Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali...
10 Reactions
165 Replies
11K Views
Wafanyabiashara Wadogo (a) Kutengwa kwa maeneo rasmi yenye ukubwa wa hekta 15,822.64 kwa ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga kufanyia biashara katika mikoa 19 ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Gharama za maisha katika nchi yetu ni himilivu sana ukilinganisha na mataifa makubwa kama Marekani, Ujerumani, Uingereza, Canada na Japan. Fanya tafiti katika mataifa hayo naamini utarudi hapa...
0 Reactions
5 Replies
563 Views
Habari, kumekuwa na mjadala mkali sana juu ya Hayati Magufuli hasa ukilenga kutomsema kulingana na mwenendo wa jinsi utawala wake ulivyokuwa, sasa niseme kama ifuatavyo 1. Kuna faida kubwa sana...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo muda huu Kuna mahojiano ya Raisi Samia na mtangazaji Tido mhando. Raisi ameulizwa swali kuhusu kushushwa uchumi wa Kati wa chini, na amesema bado tupo uchumi wa Kati wa chini. Ila nakumbuka...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari! Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni? Tatizo nini hasa? Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi yake...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
Eid Pili kwa wote! Nimepita Twitter huko nikakuta kitu cha kushangaza sana nikaja hapa nikakuta kishaanzishiwa uzi nikasema vizuri kabisa kwa sababu nowdyas watanzania hawataki ujinga YES...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndg wana JamiiForums Nipo nafikiri hapa CCM Kupitia Yule jamaa white kama mpemba hawachelewi kutoa taarifa za pongezi kwa serikali hata kwa mambo ambayo sio nchi kama uigizaji wa filamu. Lakini...
2 Reactions
5 Replies
731 Views
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na...
17 Reactions
160 Replies
14K Views
Wakati serikali ya awamu ya Tano imeingia madarakani, raisi wa wakati ule kila alipopanda majukwaani alikuwa anajibizana na mitandao ya kijamii na baadae walijitokeza wazalendo wa kujibizana na...
2 Reactions
6 Replies
814 Views
Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake...
17 Reactions
29 Replies
3K Views
Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Kimempongeza Mwenyekiti wao Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kupandisha Mishahara kwa Wafanyakazi katika Siku ya Mei Mosi...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
20 April 2022 MADEREVA WA MALORI WALALAMIKIA MIZANI NJIAPANDA MOSHI Baadhi ya Madereva wa Maroli ya Mizigo yanayofanya safari zake kati ya Dar na Arusha wamelalamikia mizani iliyopo Njiapanda...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom