Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,977
20,617
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dk. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.

Angepewa ukatibu mwenezi kabisa chama mboga mboga ingependeza zaidi. Ameonyesha mahaba kumzidi hata chiroboto enzi zake.

Wakati alishakubalinunulika na wanakijani kuaminika huku kunatoka wapi?
Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais,
 
Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais,
Ulikuwepo wakipeana, au ndipo wanakijani walivyofika
 
Yaani tumekuwa tunakataa hiyo iitwayo tume kujazwa makada wa CCM nyie ndio mnataka kuendelea kuwaongeza?
 
Hafai kwa kuwa huyu mzee huwa 'anafika bei, na kwa umri wake hawezi kubeba maboksi Canada tena au kushindia mihogo kama zamani hivyo rahisi kununuliwa.
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dk. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Ukimteua wewe kwenye kamati Yako ya harusi itapendeza zaidi!
 
Wakati alishakubalinunulika na wanakijani kuaminika huku kunatoka wapi?
Kwa mtazamo huo hautoweza kumwamini mwanasiasa yoyote katika dunia ya leo, maana wote waongo, wanafiki, walaghai na wachumia tumbo. Labda uwe mwepesi wa kuuza utu wako kwa sababu ya njaa yako. Mzee Slaa aliuona mapema mtazamo wa Lowasa na genge lake, ndomaa aliwahi mapema tu kukataa kufanywa boya na wachumia tumbo wengine wa chama.

images (1).jpeg

download.jpeg
 
Kwa mtazamo huo hautoweza kumwamini mwanasiasa yoyote katika dunia ya leo, maana wote waongo, labda uwe mwepesi wa kuuza utu wako kwa sababu ya njaa yako. Mzee aliuona mapema mtazamo wa Lowasa na genge lake, ndomaa a aliwahi kukataa kufanywa boya na wachumia tumbo wengine wa chama.

View attachment 2135374
Wengine wanaaminika Kwa viwango vyao isipokuwa ccm hawaaminiki hata punje🏃‍♂️
View attachment 2135375
 
Mtu kashindwa upadre,
Mtu kashindwa ndoa
Mtu Kashindwa kukaa CHADEMA.
Mtu kakimbiwaa na Nyumba ndogo.
Stress zote hizo, mwacheni apumzike kwa sasa., Mtamuua mzee wa watu.
 
Mtu kashindwa upadre,
Mtu kashindwa ndoa
Mtu Kashindwa kukaa CHADEMA.
Mtu kakimbiwaa na Nyumba ndogo.
Stress zote hizo, mwacheni apumzike kwa sasa., Mtamuua mzee wa watu.
Chadema ilinunuliwa na Lowasa, kipindi hicho hakuna kada wa chadema aliyeruhusiwa kugombea Urais na umakamu, mgombea wao Lowasa alikuwa mwana CCM, mgombea mwenza alikuwa mwanachama wa CUF
 
Back
Top Bottom