Rais Samia Tafuta wawekezaji haraka wa makaa ya mawe, chuma na madini ya coltan vita ya ukraine imepandisha soko Ulaya kabla hayajatudodea

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya

Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani

Tuchangamkie fursa Tafuta wawekezaji wa nje chapchap wenye mitaji na teknolojia waje upesi yasije tudodea

Makaa Ulaya yanatafutwa kama nishati mbadala kufidia vikwazo vya gesi ya Urusi na chuma kinahitajika sana kilikuwa kinatoka Ukraine na Urusi wako vitani supply ndogo tuchangamkie

Liganga na mchuchuma na ngara nk hayo Madini tunayo kibao yamelala ardhini
 
Madini ya Nickel yalikuwa bei kwa tani moja ilikuwa dola elfu 33 hadi elfu kwa tani moja 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani moja na yanagombaniwa

Nickel kule ngara tunayo mamilioni na mamilioni ya tani aridhini.
 
Naona afanye Royal Tour nyingine kwa ajili ya makaa ya mawe, wale wafanyabiashara waliotufadhili Royal Tour ya kwanza watusaidie na hii, ila siku wakikwepa kodi sijui tukiwakamata kama nguvu za kuwashtaki tutakuwa nazo.
 
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya

Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani

Tuchangamkie fursa Tafuta wawekezaji wa nje chapchap wenye mitaji na teknolojia waje upesi yasije tudodea

Makaa Ulaya yanatafutwa kama nishati mbadala kufidia vikwazo vya gesi ya Urusi na chuma kinahitajika sana kilikuwa kinatoka Ukraine na Urusi wako vitani supply ndogo tuchangamkie

Liganga na mchuchuma na ngara nk hayo Madini tunayo kibao yamelala ardhini
Wapo watu wanapiga kazi kwa nguvu zao binafsi,usitegeme serikali itasaidia
Lindi kuna mradi mkubwa tu watu wanachimba nickel...
Songea kuna watu walishaanza kuzalisha makaa ya mawe kwa matumiz ya domestic

Ova
 
Madini ya Nickel yalikuwa bei kwa tani moja ilikuwa dola elfu 33 hadi elfu kwa tani moja 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani moja na yanagombaniwa

Nickel kule ngara tunayo mamilioni na mamilioni ya tani aridhini.
Wale kabanga mining si wapo wana safirisha wapi si nje
Hivi huo mgodi serikali ina asilimia zake

Ova
 
Haujaanza kazi
Wako kwenye xploration ila ndiyo wanazalisha
Watu wengi tu sahv wanazalisha nickel(gelena)
Na wana safirisha nje
Lindi kuna project kubwa tu inafanyika
Wabongo wengi sahv wamejingiza kwenye uchimbaj wa madini ya metals

Ova
 
Haujaanza kazi
Makaa ya mawe domestic use

Kitambo tunatumia,na kna mtu yuko songea mchina anataka kuifanyia
Promo watu wa majumbani wazidi
Kuitumia
Haya sasa kuna mtu yuko mjini tangu azaliwe hajawahi iona makaa ya mawe wala hajuwi taarifa yyt khs mambo ya makaa ya mawe

Ova
20220503_141428.jpg
 
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya

Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani

Tuchangamkie fursa Tafuta wawekezaji wa nje chapchap wenye mitaji na teknolojia waje upesi yasije tudodea

Makaa Ulaya yanatafutwa kama nishati mbadala kufidia vikwazo vya gesi ya Urusi na chuma kinahitajika sana kilikuwa kinatoka Ukraine na Urusi wako vitani supply ndogo tuchangamkie

Liganga na mchuchuma na ngara nk hayo Madini tunayo kibao yamelala ardhini
Kwanini mpaka Rais Samia akutafutie wawekezaji? Si tafuta wewe uitumie fursa hiyo.

Huu ujinga wa Watanzania kama wewe wa kungoja mpaka Rais au serikali ndiyo iwafanyie kila kitu unawarudisha sana nyuma.
 
Mtaji na teknolojia changamoto

Dola milioni 400 za kuwekeza kuchimba nizitoe wapi fursa hiyo kafanye wewe
 
Wapo watu wanapiga kazi kwa nguvu zao binafsi,usitegeme serikali itasaidia
Lindi kuna mradi mkubwa tu watu wanachimba nickel...
Songea kuna watu walishaanza kuzalisha makaa ya mawe kwa matumiz ya domestic

Ova
Vizuri lakini ni ni low scale mining na low scale use unahitajika uchimbaji mkubwa kukidhi masoko ya bara la Ulaya wala sio nchi moja soko la bara zima

Sasa hivi kuna soko.la bara lote la ulaya
 
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya

Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani

Tuchangamkie fursa Tafuta wawekezaji wa nje chapchap wenye mitaji na teknolojia waje upesi yasije tudodea

Makaa Ulaya yanatafutwa kama nishati mbadala kufidia vikwazo vya gesi ya Urusi na chuma kinahitajika sana kilikuwa kinatoka Ukraine na Urusi wako vitani supply ndogo tuchangamkie

Liganga na mchuchuma na ngara nk hayo Madini tunayo kibao yamelala ardhini
Na teknolojia inabadilika,hayo nakaa ya mawe ndani ya miaka 20-30 ijayo yatapigwa marufuku Duniani kwa sababu za kimazingira.
 
Back
Top Bottom