Lissu na Lema mwezi Machi na Aprili umeisha, mbona hamrudi nchini?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Igweeeeee

Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi

Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini kimewakuta hawa viongozi wetu mpaka sasa wameshindwa kurejea nchini ili waje kuunganisha nguvu kuipambania katiba mpya na Tanzania kwa ujumla?

NB
ukitukana nakutukana pia
 
Bila mbowe chadema ni CHAUMA ....

Wanachama wengi wa chadema wandai haki ya kutoa maoni... Ila ukitoa maoni tofauti na wao... Wanaanza matusi na kukejeli...

Mtu kama Lema hana sababu ya msingi kukimbilia nje ya nchi... Hakuna mtu anashida na lema kiserikali labda kama kakimbia kwa sabbu zake binafs..

Lissu nae ni janja janja tu.... Ni mpenda fursa.. Ndio maana mpka leo bado yupo huko wakati mtesi wake hayupo duniani tena..

Umoja part ije tu.. Ichukue chama kikuu ya upinzani na wakikaza wanaweza kuchukua nchi japo itaiyajika mda wa kujipanga zaidi kwa maana CCM wananchi wengi hatuitaki. .
 
Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa chadema kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi

Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini kimewakuta hawa viongozi wetu mpaka sasa wameshindwa kurejea nchini ili waje kuunganisha nguvu kuipambania katiba mpya na Tanzania kwa ujumla?

NB
ukitukana nakutukana pia
Mbona humuulizi Sirro uchunguzi wa waliompiga risasi umeishia wapi mpaka sasa?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Wewe miaka imepita mbona haujaenda kuwaona wazazi wako kijijini kwao? Hao kama unawadai nenda mahakamani kafungue kesi ya madai.
 
Wanakula Hela za C.I.A na MOSSAD huko, wakirudi watasitishiwa malipo, kwa hiyo bado wanazuga zuga huko na kupewa mafunzo ya jinsi ya kusaliti nchi
Pale ubelgiji alipo Lissu ndio playground ya majasusi wa dunia nzima. Ameshakuwa recruited tayari
 
Mbona humuulizi Sirro uchunguzi wa waliompiga risasi umeishia wapi mpaka sasa?
Kama hii nayo ni sababu ya hawa watu k
Wewe miaka imepita mbona haujaenda kuwaona wazazi wako kijijini kwao? Hao kama unawadai nenda mahakamani kafungue kesi ya madai.
Dogo hii ni Jf
usilete kujana sana, kama wazazi wako wapo kijijini sio kila mtu unayemuona jijini pia wazazi wake wapo kijijini
 
Kama hii nayo ni sababu ya hawa watu k

Dogo hii ni Jf
usilete kujana sana, kama wazazi wako wapo kijijini sio kila mtu unayemuona jijini pia wazazi wake wapo kijijini
Utakuwa ni mmoja wa wale waliokusahau kwao, haya watumie nauli waje uwaone.
 
MOSSAD hawahitaji kuwalila Lissu na Lema,
Huoni magari mengi wa wabongo huwa yanapeperusha bendera ya Israel?!
Hata kanisani kwa mbunge wako wa CCM gwajiboi ukitizama vizuri utaona bendera ya Israel inapepea.
Wanakula Hela za C.I.A na MOSSAD huko, wakirudi watasitishiwa malipo, kwa hiyo bado wanazuga zuga huko na kupewa mafunzo ya jinsi ya kusaliti nchi
Pale ubelgiji alipo Lissu ndio playground ya majasusi wa dunia nzima. Ameshakuwa recruited tayari
 
Pia wanaogopa kuuwawa na Chadema, si mlisikia kauli ya Dk Slaa, Mbowe hataki mtu yeyote amzidi umaarufu
 
Back
Top Bottom