Wana JF
Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka...
Kutokana na kitendo walichokifanya UVCCM jana..cha kukemea na kukosoa viongozi wa serikali inayoongozwa na CCM, kuhusu kuilipa deni la DOWANS, bila kufuata taratibu kama kanuni zinazoongoza...
RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais...
Ndugu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Zilikuwepo taarifa hapa nchini kuwa Mwezi wa kuhitimisha mfungo mtukufu wa Ramadhani umeonekana katika baadhi ya maeneo...
Heri ya siku kuu na mapumziko,
Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro.
Anasema mwaka 1958...
Katiba yetu inatamka wazi kuwa jukumu la ulinzi na usalama ni la kila mwananchi. Lakini tunapotimiza jukumu hili la msingi, tumegawana majukumu.
1. Mwananchi anatakiwa kuhakikisha anampa Polisi...
TAARIFA KWA UMMA.
Dar Es Saalam.
Chama cha Mapinduzi kinachukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia...
Ndugu zangu,
Kwa niaba ya Bodi, Wakurugenzi na Watendaji wa JamiiForums nampongeza Mkurugenzi Mkuu Maxence Melo kwa kutangazwa kuwa mshindi. Kwa mara nyingine kwa mwaka huu, JamiiForums...
Request to Mods&Admin.
Kindly leave this thread here as we need to have an informed discussion on how our media and politcians have manipulated us for their own gain.
Waswahili wanasema...
Nashauri wizara ya fedha, wizara ya teknokojia ya habari na mawasiliano zijikite katika kupenyeza na kueneza masuala ya uchumi ya kijiditali(digital economy).
Waitwe wataalamu kutoka nyanja zote...
Katika Bara la Africa Zaire inaaminika iliongoza kwa Viongozi wake kumuabudu Mobutu, kiwango cha kumuabudu kilizidi hata kiwango cha kumuabudu Mungu. Yaani Mobutu alikuwa na uwezo hata wa...
Wanabodi,
Kuna hoja kuwa kauli huumba. Yaani ukitoa kauli fulani, kauli hiyo inakuwa na nguvu za kuumba, hivyo huko mbele inakuja kukiumba kitu hicho kilichosemwa au kilichozungumzwa.
Hili...
Ndugu Waziri wa maji,
Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida.
Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo...
Mh.RAIS wangu MAMA SAMIA Pole na MAJUKUMU ya Kuliongoza TAIFA
Naomba nikukumbuke kidogo kuwa Mwaka 2013 kulikuwa na MRADI wa UJENZI wa MJI wa KAWE Dar salaam Mradi ambao ungekamilika MJI wa KAWE...
Wanabodi salaam!
Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga...
Historia ya kesi ya Mbowe na Wenzake
Freeman Akamatwa Mwanza 21Julai 2021
Mnamo tarehe 21 Julai mwaka 2021, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilimtia nguvuni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa...
Kwa mujibu wa ITV habari Zanzibar Fisheries Company(ZAFICO ) hongera kusaini mkataba kiwanda cha kuchakata Samaki na nchi ya Sri Lanka Tanzania bara mifisadi imeua TAFICO
Zanzibar Fisheries...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.