Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sio kawaida na inatisha. Kiongozi mkubwa kama Esta Bulaya, Mnadhimu wa Kambi rasmi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania anapigwa na askari wa Tanzania hadi anapoteza fahamu...
14 Reactions
113 Replies
8K Views
Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati...
15 Reactions
112 Replies
5K Views
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.
1 Reactions
5 Replies
619 Views
Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa...
16 Reactions
98 Replies
5K Views
Kuna wanasiasa wengi wenye busara na weledi waliopata kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu lakini kwa kizazi chetu hiki nadhani ndugu Freeman Mbowe ni mfano halisi wa ukomavu wa kisiasa...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji in 2022. 1) Mji upanuliwe kusini mwa barabara ya Moshi-Arusha, this is very important. Kamwe mji usipanuliwe Kaskazini mwa barabara ya Moshi-Arusha...
13 Reactions
68 Replies
11K Views
Watanzania tuna kasumba ya kuuangalia ujamaa kwa jicho la ubepari na kuona ujamaa ni mfumo usio na maslahi yeyote kwa jamii. Vipi kuhusu ubepari unatengeza matabaka ndani ya jamii, una maslahi...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Wakuu nchi yetu ni ya kijamaa, hivi hii ideology bado ni relevant(kama imewahi kuwa)? Je, tuliingia chaka kufuata siasa za ujamaa?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Najua hii mada inaweza kuwashtua wengi, ila nipe muda kidogo nitakuelewesha. Juzi juzi, nilileta mada iliyokuwa inaongelea ni jinsi gani taifa letu sasa linafuata mkondo wa Kifashisti. Nilijaribu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa ya Gazeti la Raia Mwema zinaonyesha kwamba, lipo kundi Maalum lililobeba Malundo ya fedha, lililosambazwa nchi nzima kwa lengo la kuwahonga wajumbe wa Baraza Kuu la Chadema ili...
27 Reactions
125 Replies
9K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza...
14 Reactions
72 Replies
7K Views
Taarifa kutoka kwenye Kamati ya Maandalizi ya vikao vya CHADEMA vilivyopangwa Kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City DSM , zinadokeza kwamba kila Mjumbe Halali wa Kikao cha Baraza Kuu atavaa vazi...
26 Reactions
94 Replies
6K Views
Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa mji wa Karatu haukuwai kuona gari la mtalii likipita mpaka alipoingia Rais Samia tena kwa ujio wa Royal tour? Ni kweli Mbunga kama Serengeti zimeanza kupata watalii baada ya Royal...
17 Reactions
64 Replies
4K Views
VIONGOZI ACT WAZALENDO TUNDURU WASHINDA KESI: Viongozi wa ACT Wazalendo kutoka Mkoa wa Kichama wa Selous (Wenye Majimbo ya Tunduru Kusini, Tunduru Kaskazini na Namtumbo) waliokuwa na kesi ya...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Ndugu zangu, Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kwamba tayari wanachama wake 19 waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho wameshapelekewa wito wa kwenda kusikiliza matokeo ya rufaa...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom