Kwamba tunataka usawa wa kijinsia,wanawake na wanaume wote sawa linapokuja swala la uongozi .
Ikitokea mwanamke akawa kiongozi anahaki ya kukosolewa Kama mwanaume haiwezekan tukisema kuwa...
Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya...
Kwakuwa sasa mchakato wa kuwafukuza wale wanawake 19 waliopewa ubunge wa viti maalumu kinyume na taratibu umekamilika kwa Baraza kuu kutoa maamuzi, ni vema sasa CHADEMA ipeleke barua rasmi kwa...
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission...
Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa.
Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda...
Nawasalimu wanajukwa kwa jina la JMT..
Leo naomba kutoa ushauri ambao pengine wengi wasiupende ila ndio ukweli wenyewe..
Ni hivi,ushahidi unaonyesha Nchi zote zikizoendelea kuanzia...
Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini.
Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa.
Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha...
Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu.
Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga...
Inaelezwa kwamba fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa CCM zimedoda na wengi wamegoma kuzichukua jambo linaloonesha kuchokwa kwa Chama Chakavu na Mwenyekiti wake.
Asilimia kubwa...
Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana.
Wengi huko ni wasaka fursa...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about...
Mfanyabiashara, Nathan Kimaro na mkazi wa jiji la Arusha amepongeza ujio wa Filamu ya Royal Tour ambayo imezinduliwa hivi karibuni hapa nchini akisema imekuja kufungua Uchumi wa Taifa kupitia...
HAPO zamani kidogo, Tanzania palikuwa kimya. Ukithubutu kusema unatishiwa kutekwa. Unapotezwa.
Haikuwa vitisho vya uongo. Watu walitekwa na kupotezwa. Machi 19, 2021, taifa likajipatia rais mpya...
1. Kuiwezesha Tanganyika Law Society kujitegemea kiuchumi bila kutegemea michango ya wanachama.
- Katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Mgombea Urais amepanga kutekeleza mikakati inayolenga...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo...
Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika...
KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu...
Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani
Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa...
Huyu jamaa toka ameteuliwa kuwa Waziri Tamisemi, Kuna watu wengi walidhani hatoiweza Tamisemi, hii ilitokana na mawaziri wa nyuma wa Tamisemi walivyokuwa wanafanya kazi.
Seleman Jaffo yeye...
Leo baraza kuu la Chama Cha Chadema inakutana jijini Dar
Moja ya ajenda zake ni kusikiliza Rufaa ya wabunge 19 wa Chama hicho,walioingia bungeni baada ya barua ya katibu mkuu wa Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.