CHADEMA mnapenda Namba lakini hamjui Hesabu

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.

IMG-20220511-WA0357(1).jpg
 
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.

View attachment 2220660
Kwanini mnahangaika na chama ambacho kimeshajifia? Mlituaminisha kuwa chama mbadala ni ACT, ghafla mnataka kuanzisha Umoja Part.
 
Kwanini mnahangaika na chama ambacho kimeshajifia? Mlituaminisha kuwa chama mbadala ni ACT, ghafla mnataka kuanzisha Umoja Part.
Kwani kiko Bungeni au Ikulu?

Hata mioyoni mwa watanzania hakimo kivile!
 
Kama chama hakikuhusu unahoji tarakimu zao ili iwe nini?? Ubishane na nani?

Tuwaachie wenyewe...
 
Kwani kiko Bungeni au Ikulu?

Hata mioyoni mwa watanzania hakimo kivile!
Sasa kwanini muumizwe na chama ambacho hakina madhara kwenu? huo muda mnaotumia kukiwaza chadema iliyokwishajifia utumieni kutatua kero za watanzania wanaoumizwa na kodi ambazo bunge la ccm limezianzisha.
 
Back
Top Bottom