Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI. Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi Gussie nimezaliwa kaskazini na watu wananijua ni wa huko, Mimi ni Mkinga kamili wa Ikonda. Nimekaa sana Nchini Rwanda pia Anayesemwa sana na watu Mzee Mwakipande aliyekuwa anatoa utajiri...
17 Reactions
186 Replies
14K Views
Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC. Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba...
17 Reactions
110 Replies
6K Views
Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Kimetangaza kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari , kesho Jumatatu 09/05/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi , Kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho ...
13 Reactions
73 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Naendelea na Kazi,Ili kuleta tija ya uzalishaji na mgawanyo sahihi wa krasilimali za Nchi ,naishauri serikali Itumie kanuni wanayotumia Marekani.. Kwamba 40% ya...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Katika Dodosa zangu leo nimekutakana na kitu ambacho si kizuri kwa kweli. Mwalimu muajiriwa wa Serikali ngazi ya chini analipwa Chini ya 500,000/= kwa mwezi. Wale wa Sekondari walioko madaraja ya...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara! Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Taifa leo tarehe 09 Mei, 2022 kuhusu namna ya kukabiliana na suala la kupanda kwa bei ya Mafuta nchini akiwa Ikulu...
23 Reactions
334 Replies
25K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani...
1 Reactions
98 Replies
8K Views
Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Pro kitila leo kamwaga nondo za kufa mtu ushauri wake serikali ikiuzingatia tutafika mbali sana. Ukianza na degree ya ualimu iwe miaka minne for freshers Yaaani form six na diploma iwe miaka 3 ni...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Kwasasa Tanzania, zimbabwe na South African tuna nyimbo inafanana🤔
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya SHELL japo ilikuwa ama bado mpaka sasa iko kama NEMBO HALISI ya biashara ya mafuta nchini, lakini miaka mingi iliyopita ilijiondoa kufanya biashara nchini mwetu. Juzi juzi miaka...
3 Reactions
150 Replies
27K Views
Ataupiga mwingi sana!! Atamkaribisha kwa hiari yake yule wa Zanzibar (mtoto wa mzee Mwinyi) aje agombee kwa tiketi ya CCM, halafu yeye ataenda kugombea Zanzibar!! Atapokelewa Zanzibar kama...
2 Reactions
4 Replies
679 Views
Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom