Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA. Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri...
0 Reactions
5 Replies
760 Views
"Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa...
29 Reactions
209 Replies
22K Views
Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha...
10 Reactions
63 Replies
6K Views
Mhola sana waungwana! Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora. Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
BP ilikuwa kampuni kubwa sana ya mafuta iliyosambaa nchi nzima, iliaminika kuuza mafuta yasiyochakachuliwa, kutokana na jambo hilo iliheshimiwa na kuaminiwa nchi nzima. Bali Kwenye utawala wa...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Naona kwenye Mitandao Kasi ya Membe si ndogo , si Maanishi ni kubwa sana, Nauliza tu hivi baada ya sarakasi hizo zote na Magufuli akarudi Ikulu kwa Ngwe ya Pili, nini itakuwa hatma ya Membe...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Ikumbukwe ikatokea Chama tofauti na sisi kikaongoza basi yafuatayo ndo tutayajutia 1. Rais wao atakuwa na madaraka kadhaa ambayo yapo juu ya Mungu Kuua, Kuteka, Kusweka watu ndani, namaanisha...
26 Reactions
33 Replies
3K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewachia huru wanachama wanne wa CHADEMA waliokuwa wamehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Lindi kutumikia kifungo cha miaka 22 gerezani kwa makosa yaliyohusiana na...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze. Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa, Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa, Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama...
109 Reactions
205 Replies
20K Views
Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa...
40 Reactions
326 Replies
37K Views
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga...
137 Reactions
120 Replies
12K Views
Wanachama saba wa CHADEMA wameachiwa Huru baada ya kusota Rumande Kwa Muda mrefu nao ni Mutembei Mugyabuso Kalokora John Martin Katto Mujwahuzi Katabani Ngara Jimmy Lindo Kendrik Andrew Bukoba...
1 Reactions
2 Replies
540 Views
Wanaukumbi. Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka...
26 Reactions
57 Replies
4K Views
Ninafarijika, CCM imerudi kwenye Mikono salama, Angalizo Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo, Nisingependa Kusikia 1. Wizi wa keki ya Taifa 2...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana 1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la...
23 Reactions
110 Replies
8K Views
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu...
3 Reactions
155 Replies
31K Views
USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom