Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na mfumo ya sio hawa makada ambao wanachaguliwa kuwa Majaji.
Majaji wakuu waliopita walikuwa na uzoefu na hawakuruhusu mahakama kuwa sehemu ya kufichia maovu ya kisiasa. Mahakama kuu kwa ucheleweshaji wa makusudi wa kesi nyingi hasa za kisiasa badala ya kusaidia kutoa haki wamekuwa wanatumika kukandamiza haki. Yanni nina kesi bado za wabunge wa 2010-2015 hazijasikilizwa mfano rufaa ya Lissu ya kufukuzwa ubunge! tujiulize kwanini? Kuna kitu gani hasa cha kufanya kesi kama hizi za Covid 19 zitachukuwa miaka yote mpaka 2025! ? Sasa hii inaonyesha picha gani kwa wananchi kuhusu mahakama?. Tatizo ni viongozi wa hii mahakama