Mwenyekiti mpya wa kuivusha CHADEMA

Mwenyekiti mpya wa kuivusha CHADEMA

Lowkii

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
293
Reaction score
460
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi .

Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa sasa ni wazi zimeshindwa kuleta matokeo .

Ifike wakati sasa tukubaliane na hali halisi kuwa Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo aliweza kufanya aliyoyaweza na ameshachoka kifikra katika kukikwamua chama.

Kwa hali na mwenendo wa kisiasa kwa sasa katika nchi yetu ni wazi anahitajika mtu Aggressive , anayesema jambo na likatekelezeka , anahitajika kiongozi asiyetegemea huruma za watawala , anahitajika kiongozi ambaye ataweza kuweka maslahi ya wananchi mbele na siyo maslahi ya Chama . Kiongozi anayepigania Chama pekee hatufai .

Wananchi wana issues nyingi ambazo viongozi wameziba masikio kana kwamba hawasikii .

Tujikumbushe wakati wa Dkt. Slaa kwa nafasi yake tu ya Katibu mkuu CHADEMA, nguvu na sauti ya kiongozi wa upinzani ilionekana na pengine kutiliwa uzito .

Kwa sasa hatuna tena viongozi . Tumebakiwa na viongozi wanaotegemea huruma za wanasiasa . Kwa mfano suala hili la wabunge 19 wa CHADEMA halikupaswa kufika hapa lilipofika , hawa wangeweza kudhibitiwa mapema asubuhi kabisa , cha kushangaza ati tunasikia Mwenyekiti wao alikuwa akiwaomba na kuwaita kuwabembeleza . Seriously!
 
It is time Chadema na Mbowe mwenyewe kujitathmini na kuona maslahi zaidi ya chama kuliko ya Watu Binafsi na Jinsi chama kitakavyosonga mbele!! Kudhani utawaomba ccm waachie ngazi kwa kula nao meza moja ni upopoma! Sacrifices must be made intelligently.
 
Hakuna kiongozi anayefaa, walipo madarakani na nje, chama kimekufa
 
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi .

Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa sasa ni wazi zimeshindwa kuleta matokeo .

Ifike wakati sasa tukubaliane na hali halisi kuwa Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo aliweza kufanya aliyoyaweza na ameshachoka kifikra katika kukikwamua chama.

Kwa hali na mwenendo wa kisiasa kwa sasa katika nchi yetu ni wazi anahitajika mtu Aggressive , anayesema jambo na likatekelezeka , anahitajika kiongozi asiyetegemea huruma za watawala , anahitajika kiongozi ambaye ataweza kuweka maslahi ya wananchi mbele na siyo maslahi ya Chama . Kiongozi anayepigania Chama pekee hatufai .

Wananchi wana issues nyingi ambazo viongozi wameziba masikio kana kwamba hawasikii .

Tujikumbushe wakati wa Dkt. Slaa kwa nafasi yake tu ya Katibu mkuu CHADEMA, nguvu na sauti ya kiongozi wa upinzani ilionekana na pengine kutiliwa uzito .

Kwa sasa hatuna tena viongozi . Tumebakiwa na viongozi wanaotegemea huruma za wanasiasa . Kwa mfano suala hili la wabunge 19 wa CHADEMA halikupaswa kufika hapa lilipofika , hawa wangeweza kudhibitiwa mapema asubuhi kabisa , cha kushangaza ati tunasikia Mwenyekiti wao alikuwa akiwaomba na kuwaita kuwabembeleza . Seriously!
Kuivusha kwenda wapi?
 
Naam, CCM wangekubali tu kama wangekuwa wanashinda chaguzi kwa haki. Lakini kwa vile wanashinda kupitia matobo kwenye Tume, hawawezi kutupa Katiba mpya kwa hiari. Mbowe tangu atoke gereza anaonekana kukubalina na Samia kuwa Katiba mpya ni 2030!!
Sacrifices must be made intelligently.
 
CCM wanahitaji kashikashi... Kwa mwendo huu wa sasa, hakuna kitu kitatokea. Samia alikwishasema mpaka 2030...
Mpaka sasa Freeman mbowe ameonesha uwezo mkubwa wa kukiongoza Chadema kwa mitihani aliyopitia wakati wa utawala wa dikteta mwendazake. Tumpe muda ata hande hii issue kwa umakini mkubwa.
 
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi .

Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa sasa ni wazi zimeshindwa kuleta matokeo .

Ifike wakati sasa tukubaliane na hali halisi kuwa Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo aliweza kufanya aliyoyaweza na ameshachoka kifikra katika kukikwamua chama.

Kwa hali na mwenendo wa kisiasa kwa sasa katika nchi yetu ni wazi anahitajika mtu Aggressive , anayesema jambo na likatekelezeka , anahitajika kiongozi asiyetegemea huruma za watawala , anahitajika kiongozi ambaye ataweza kuweka maslahi ya wananchi mbele na siyo maslahi ya Chama . Kiongozi anayepigania Chama pekee hatufai .

Wananchi wana issues nyingi ambazo viongozi wameziba masikio kana kwamba hawasikii .

Tujikumbushe wakati wa Dkt. Slaa kwa nafasi yake tu ya Katibu mkuu CHADEMA, nguvu na sauti ya kiongozi wa upinzani ilionekana na pengine kutiliwa uzito .

Kwa sasa hatuna tena viongozi . Tumebakiwa na viongozi wanaotegemea huruma za wanasiasa . Kwa mfano suala hili la wabunge 19 wa CHADEMA halikupaswa kufika hapa lilipofika , hawa wangeweza kudhibitiwa mapema asubuhi kabisa , cha kushangaza ati tunasikia Mwenyekiti wao alikuwa akiwaomba na kuwaita kuwabembeleza . Seriously!
Upo sahihi kwa upande mmoja lakini haupo sahihi kwa upande mwingine. Upande ambao upo sahihi ni kwamba chadema inahitaji reforms na mbowe hawezi kuwa kiongozi wa hizo reforms. Upande ambao haupo sahihi ni kudhani kwamba udhaifu wa mbowe ni kuonekana kuwa soft kwa watawala au kwa akina mdee. Nope, udhaifu wa mbowe na udhaifu wa chadema kwa ujumla kwa sasa ni ukosefu wa utawala wa mfumo wa kitaasisi unaovuka utashi wa mtu au watu binafsi. Kama huo utawala ungekuwepo hiyo inshu ya akina mdee isiyotofautiana sana na inshu iliyopelekea Dr. Slaa kujitoa chamani wala isingetokea in the first place.
 
Mkuu
CHADEMA ITAONDOKA NA MBOWE!AKISHAKAMILISHA MISSION NA CHADEMA ITAYEYUKA!!
CCM NA CHADEMA WATAYEYUKA KWA PAMOJA HALAFU KITA ZALIWA KIPYA!!!
 
Kwa mujibu wa mashabiki wa chadema, Mbowe akiachia uenyekiti chama kitakufa!

Hivyo Mbowe yupo sana tu ilo chadema iendelee kuwepo!

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Alafu si ni juzi tu hapa mkawa mnasema Mbowe ni mwamba wa siasa za tz hakuna kama yeye na nyuzi ziko humu?
 
Suala sio kubadilisha sura na jina la kiongozi pekee, ili ku deal vizuri na uozo wa CCM na serikali yake inabidi pawepo na vision kubwa zaidi ya hapo, kwa sasa sioni nyingine zaidi ya sacrifice.
 
Suluhisho pekee la kuikomboa hii nchi ni kuiteketeza CCM kwa njia yoyote ile sio lazima kupitia CHADEMA tu.

Iwe kwa mtutu au kwa amani ila siku CCM inang'ooka ndio siku ya kwanza ya tumaini kwa Tanzania.
Kweli hawa kina Mdee wasaliti wakubwa , walikuwa wa kuitwa na kubembelezwa na Mwenyekiti wabadilishe misimamo yao au walitakiwa tu kutimuliwa ? Eti mpaka inafikia hatua wana ahidiwa kutafutiwa kazi . Msaliti umtafutie kazi ya nini .

Mbowe amechoka ni wakati sasa apatikane mtu wa kumsaidia
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom