Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
 
Kuna mwenzetu mmoja hupa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Paschal anasifa za kihaya sana
 
covid 19 wana fungu milions 400 crdb walijichanga muda mrefu linafanya kazi sasa unadhani mr NJAA yeye hazitaki na vile kazi zake zimekuwa ngumu? ukimuuliza hata ubunge wa mtu aliyetolewa jela usiku umepatikanaje , hana jibu? utasikia kuna kigogo chadema anaju sasa sijui chadema wanaamrisha magereza?
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Tulia na wakubwa zake ndo wakwanza kuvunja katiba na sheria za nchi halafu wanataka kukunwa
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Kupata A haimanishi yeye ni mbobezi kwenye sheria mambo mengine ni upuuzi mtupu tunao wengi huku mitaani ni weupe kichwani huwezi amini mkuu.
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.

Yeye sasa hivi hakumbuki sheria tena maana alisoma zamani na kuishia kazi za kupiga porojo. Sasa hivi anasimamia porojo za mtaani zaidi kuwa kuna kigogo wa CDM ndio aliwasainia barua ya kwenda kuapishwa.

Cc: Paskali Mayalla
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Chadema mtagombana na nchi nzima sasa.

Sio kwa Povu hili.

Kila siku mnaongeza idadi ya maadui wapya.

Kwenu haki ni pale inapowapa favour nyinyi na vinginevyo sio HAKI.

MBOWE Alisema.......ACHENI UHUNI BHANA!
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Mfano mwingine rahisi kwa wengi. Lengai Ole Sabaya wakati amehukumiwa kwenda gerezani miaka 30, alikata rufaa mahakama kuu. Wakati rufaa yake inasikilizwa aliendelea kutumikia adhabu yake gerezani, hadi kesi ilivyoamuliwa vinginevyo. Kwanini COVID-19 ni wabunge hadi leo? UHUNI.
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom