Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
224
591
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania.

Tanzania ya sasa si tanzania ya jana...inabadilika inakuja na mambo leo ambayo mengine si mazuri. Nimemsikia mbunge mmoja akiongea lugha ya ajabu sana bungeni ambayo sitegemei mbunge msomi na ampambanaji ongee hata kama alikwazika sana. Angalau kistaarabu angeomba msamaha maana wanasema ada ya mja hunena uungwana ni vitendo.

Kwa mbunge kutamka maneno "fala" "mpumbavu" si maneno mazuri ingawa sishangai hili tatizo si kwa wabunge vijana tu . tulishawah sikia mtu mzima mmoja akiitwa wenzie "wapumbavu" si maneno ya kistaarabu tukiacha ashakum si matusi. Kuna lugha za mitaani hizo zisipelekwe bungeni kwa nini wabunge huwa hawapewe semina ya communication skills? maneno kama "kimenuka" "fala", "wapumbavu" hatutegemei kuyasikia bungeni.

Wapumbavu wote basi wanapotamkwa watamkwe pia na huo upumbavu walioufanya au nena wasiishiwe kuitwa wapumbavu. Nimesikitika sana kwa aina hii ya wabunge akina kibajaji lusinde, akina Halima Mdee, Sugu n.k tunategemea nini? ni wapi tulipokosea sisi watanzania?

Najua bado kuna watu watakuja kutukana hapa na kumtetea.Kudhihirisha kuwa tuna taifa ambalo either limeathirika na viroba au matumizi ya bangi lakini sisi wenye akili timamu hatutanyamaza.

"Acha Tu niseme Ukikasirika Basi"
 
Attachments

  • Halima mdee na matusi bungeni.mp4
    9.9 MB · Views: 67
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania.

tanzania ya sasa si tanzania ya jana...inabadilika inakuja na mambo leo ambayo mengine si mazuri. nimemsikia mbunge mmoja akiongea lugha ya ajabu sana bungeni ambayo sitegemei mbunge msomi na ampambanaji ongee hata kama alikwazika sana. angalau kistaarabu angeomba msamaha maana wanasema ada ya mja hunena uungwana ni vitendo.

kwa mbunge kutamka maneno "fala" "mpumbavu" si maneno mazuri ingawa sishangai hili tatizo si kwa wabunge vijana tu . tulishawah sikia mtu mzima mmoja akiitwa wenzie "wapumbavu" si maneno ya kistaarabu tukiacha ashakum si matusi. kuna lugha za mitaani hizo zisipelekwe bungeni kwa nini wabunge huwa hawapewe semina ya communication skills? maneno kama "kimenuka" "fala", "wapumbavu" hatutegemei kuyasikia bungeni.

wapumbavu wote basi wanapotamkwa watamkwe pia na huo upumbavu walioufanya au nena wasiishiwe kuitwa wapumbavu. nimesikitika sana kwa aina hii ya wabunge akina kibajaji lusinde, akina halima mdee, sugu n.k tunategemea nini? ni wapi tulipokosea sisi watanzania?

najua bado kuna watu watakuja kutukana hapa na kumtetea .kudhihirisha kuwa tuna taifa ambalo either limeathirika na viroba au matumizi ya bhangi. lakini sisi wenye akili timamu hatutanyamaza.

"Acha Tu niseme Ukikasirika Basi"
Kama hutaki kuyasikia lazima maccm yatoke madarakani kwasababu wengi wao ndio wanasababisha kuitwa Fala
 
Mkuu kwa hili hata mimi naunga mkono hoja, ni aibu kubwa kwa taifa, tena taifa lililojengwa kwenye misingi ya ustaarabu, umoja, Amani na mshikamano. Tunawafundisha nini vizazi vyetu, mataifa mengine wanatuchukuliaje. Haki haitafutwi kwa matusi na lugha chafu, Kwa hili Mh Mdee anastahili kuomba radhi si wa bunge tu na wa Tanzania wapenda Amani.
 
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania.

tanzania ya sasa si tanzania ya jana...inabadilika inakuja na mambo leo ambayo mengine si mazuri. nimemsikia mbunge mmoja akiongea lugha ya ajabu sana bungeni ambayo sitegemei mbunge msomi na ampambanaji ongee hata kama alikwazika sana. angalau kistaarabu angeomba msamaha maana wanasema ada ya mja hunena uungwana ni vitendo.

kwa mbunge kutamka maneno "fala" "mpumbavu" si maneno mazuri ingawa sishangai hili tatizo si kwa wabunge vijana tu . tulishawah sikia mtu mzima mmoja akiitwa wenzie "wapumbavu" si maneno ya kistaarabu tukiacha ashakum si matusi. kuna lugha za mitaani hizo zisipelekwe bungeni kwa nini wabunge huwa hawapewe semina ya communication skills? maneno kama "kimenuka" "fala", "wapumbavu" hatutegemei kuyasikia bungeni.

wapumbavu wote basi wanapotamkwa watamkwe pia na huo upumbavu walioufanya au nena wasiishiwe kuitwa wapumbavu. nimesikitika sana kwa aina hii ya wabunge akina kibajaji lusinde, akina halima mdee, sugu n.k tunategemea nini? ni wapi tulipokosea sisi watanzania?

najua bado kuna watu watakuja kutukana hapa na kumtetea .kudhihirisha kuwa tuna taifa ambalo either limeathirika na viroba au matumizi ya bhangi. lakini sisi wenye akili timamu hatutanyamaza.

"Acha Tu niseme Ukikasirika Basi"
Hawa watu wana elimu gani?naomba kama unajua kiwango chao cha elimu niambie ili tuanzie hapo mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Hivi si ulishangilia mafungu ya semina yalipokatwa? Mkasema zielekezwe kwenye miradi ya maendeleo sasa hili linatoka wapi?
 
Pale bungeni lugha inayotumika ni bora hata mtaani na vijiweni kuna ligha ya staha. Si upinzani Si ccm wote lugha yao haina staha kama watu wazima wanaongea. Yaani siku hizi kutazama bunge kama uko n a mkweo utazima TV. Mbona enzi za akina Pius msekwa hali haikuwa hivi? Wabunge jirekebisheni, lugha ya siongei na mbwa, gala wewe, sijui Mara https://jamii.app/JFUserGuide you! Sio lugha inatakiwa kutamkwa na mtu mzima eti tu mko vyama tofauti afu mnajiita waheshimiwa, uheshimiwa gani huo?
 
Maneno na matendo kama haya ya kihuni ndio maana bunge limezuiwa kurushwa mubashara. Ustaarabu wa karne nyingi sana kutukanana ktk mikutano ya hadharani kama bunge n.k. Ndio maana mkuu wa hekaya anawadhibiti, ukiwachekea sana mbwa wanakufuata hadi msikitini. Kiumri tu Mh. Spika Ndugai ni mkubwa sana kuliko Halima Mdee sasa anatoa wapi ujasiri wa kumtukana? Kama hali ndio hivi uhuru wa kuongea unavuka mipaka ya desturi na maadili yetu. Pia unavunja haki ya msingi ya asili ya kuheshimiwa na wengine.
 
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania.

tanzania ya sasa si tanzania ya jana...inabadilika inakuja na mambo leo ambayo mengine si mazuri. nimemsikia mbunge mmoja akiongea lugha ya ajabu sana bungeni ambayo sitegemei mbunge msomi na ampambanaji ongee hata kama alikwazika sana. angalau kistaarabu angeomba msamaha maana wanasema ada ya mja hunena uungwana ni vitendo.

kwa mbunge kutamka maneno "fala" "mpumbavu" si maneno mazuri ingawa sishangai hili tatizo si kwa wabunge vijana tu . tulishawah sikia mtu mzima mmoja akiitwa wenzie "wapumbavu" si maneno ya kistaarabu tukiacha ashakum si matusi. kuna lugha za mitaani hizo zisipelekwe bungeni kwa nini wabunge huwa hawapewe semina ya communication skills? maneno kama "kimenuka" "fala", "wapumbavu" hatutegemei kuyasikia bungeni.

wapumbavu wote basi wanapotamkwa watamkwe pia na huo upumbavu walioufanya au nena wasiishiwe kuitwa wapumbavu. nimesikitika sana kwa aina hii ya wabunge akina kibajaji lusinde, akina halima mdee, sugu n.k tunategemea nini? ni wapi tulipokosea sisi watanzania?

najua bado kuna watu watakuja kutukana hapa na kumtetea .kudhihirisha kuwa tuna taifa ambalo either limeathirika na viroba au matumizi ya bhangi. lakini sisi wenye akili timamu hatutanyamaza.

"Acha Tu niseme Ukikasirika Basi"

Vipi kuhusu yule alisema "fûck you"
 
Back
Top Bottom