Upatikanaji pembejeo
Teknolojia duni za Kilimo
Utekelezaji bajeti ya kilimo
Kilimo cha kutegemea Mvua
Ukosefu wa Huduma za Mikopo
Unafuu upatikanaji zana za kilimo
Uhaba wa mafunzo ya kilimo bora...
Kwa mujibu wa ibara ya 67(1)(b) mbunge awe na sifa kamili za kuwa mbunge ni lazima aidhiniswhe na chama chake kugombea ubunge.
Mdee na wenzake 18 ni dhahiri na wazi kabisa hawana sifa hiyo...
Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako…
1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66.
2. Amejenga madarasa 1500...
Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO...
Leo 10:15pm 07/05/2022
Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa...
Kwa maoni ya mtandaoni na mtaani wana CHQDEMA karibia wote wameridhia na kufurahishwa kufukuzwa uanachama kwa wabunge wake wanawake 19.
Kwa upande wa CCM asilia mtandaoni, ile iliyoshikilia...
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM...
Maoni ya Kitila Mkumbo kuhusu issue ya Halima Mdee na Wenzake yanaonyesha anatambua akina Halima wapo Bungeni kinyume Cha Sheria na kwamba Chadema walifanya sahihi kuwqfukuza.
Anatumia lugha ya...
Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu...
Spika na Rais.
1. Anayezindua na kuvunja Mhimili wa Bunge ni Mhe. Rais!
2. Anayeupa fedha Mhimili wa Bunge ni Mhe. Rais kwa saini yake ya kuidhinisha bajeti ya nchi kuwa sheria ili ndipo fedha...
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia...
Members, Kila wakati huwa nasema Mimi ndani ya ccm naangalia maslahi yangu binafsi, Nasoma upepo na kuchukua hatua za kuunga mkono upande unaosawazisha mambo yangu.
Tambua mkono mtupu haulambwi...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka...
Na Mwl Udadis
Uchumi wa Dunia unapoyumba hakuna nchi inayobaki salama. Baada ya athari za COVID19, tayari Dunia imeingia katika suala la mgogoro wa Urusi na Ukraine. Licha ya changamoto hizi...
Following the footseps of the one and only one speaker bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania na kusini mwa Jangwa la Sahara Job Ndugai aliacha legacy iliyotukuka sana kwa bunge la nchi hii...
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Samwel Gwamaka amesema tayari ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kati ya Hoima Uganda na Chongoleani Tanga umeanza kwa hatua za awali kwa maeneo ya kipaumbele na NEMC...
Nitajaribu kuwaza kuhusu hoja za kupinga akina Mdee na wenzake kuwa wabunge. Watu wanachambua na kujenga hoja kuwa wamevunja katiba ya chama na ya nchi.
Kwa kifupi mimi niweke wazi kuwa niko...
AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE
Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa)
Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa...
Kuna kitu nakiona binafsi naumia Sana, yaani watu hasa CCM na vyama shikizi wanatumia sakata la Covid-19 ili kumdhiahaki Mbowe na kimdharirisha. Sasa Kama Kuna mwanasiasa yeyote Tanzania ambaye...
Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema , amekuwa akikutana kwa mazungumzo na Rais wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM , chama ambacho kilifanya njama ya...