Maajabu ya kufukuzwa uanachama Halima Mdee na wenzake 18; Waliofurahi, nyutro, wanaolalamika na waliochukizwa

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,607
46,245
Kwa maoni ya mtandaoni na mtaani wana CHQDEMA karibia wote wameridhia na kufurahishwa kufukuzwa uanachama kwa wabunge wake wanawake 19.

Kwa upande wa CCM asilia mtandaoni, ile iliyoshikilia usukani serikalini na kwenye chama kwa sasa iko nyutro na kimya. Haionekani kujishughulisha, kutatizwa au kuhangaishwa na CDM kuwafukuza kwenye chama chao waliokuwa wanachama wake.

Wanaolalamika, waliochukizwa na kukasirishwa na uamuzi huo ni MATAGA!. Wameandika nyuzi za kila aina kuwananga CDM na hususani Mbowe kwa maamuzi hayo. Wamewashauri wabunge hao kwenda mahakamani, wanawatetea hawajatendewa haki na mwishowe wanafurahi wabunge hao kuendelea kuingia bungeni na wanatamba kwa nyuzi kwamba hakuna kitu kitabadilika, wabunge hao wataendelea kuingia bungeni CDM ipende au isipinde.

Wengine wamefikia mbali zaidi kusema CDM imefanya uamuzi wa kipumbavu na itayumba au itajifia kwa kuwafukuza wanawake hao!

Kwa nini wanaonekana kuchukizwa zaidi na kufukuzwa kwa wanachama 19 wa CDM ni kundi la watu walio katika chama kingine na sio baadhi ya wana CDM ambao labda ingekuwa ni wafuasi wao? Wana maslahi gani nao?
 
..endeleeni kula mtori, nyama mtazikuta chini. Kuna wakuchutama hawa ndio nasubiri nguo zikianza kuvuliwa
 
CCM Shiyanga 2016 ilifukuza 29.

CCM taifa 2017 ilifukuza wafuatao:

Sophia Simba.
Jesca Msambatavangu
Erasto Kwilasa
Ramadhani Madabida Christopher Sanya

Wengine ni:

Omari Awadhi
Ally Msuya
Makolo Laizer
Salum Madenge
Wilfred Ole Molel

Hili suala la fukuzafukuza kwy vyama linaporomosha demokrasia.

Nadhani liangaliwe upya na ikiwezekana liwekwe kwy sheria ya nchi ya kusajili vyama vya siasa badala ya sheria za vyama, km ambavyo sekta ya kazi imetengenezewa sheria namba 6 ya 2004 iliyoanza kazi 2006.

Wapo wanachama wanaofukuzwa kwa matashi ya watu tu ndani ya chama au kwa kununua wajumbe kwy vikao vya kufukuza wanachama.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kikulacho kinguoni mwako wapo watu ndani ya chama na nje ya chama ambao wanaona akina Mdee na wenzie kuwa Bungeni ni halali kabisa na kama watavuliwa ubunge basi ni aibu kwa Chadema na nchi kwa ujumla kwa kisingizio cha msamaha feki kuwa yale ya jiwe yalishapita tugange yajayo.
 
Kumbe hata Paskal Njaa ni MATAGA!!??
 
Kinachotakiwa kiwepo ndani ya Katiba ni mtu kuendelea kuwa mbunge hata akifukuzwa na chama chake, pia wagombea binafsi waruhusiwe.

Kuvilazimisha vyama kwa katiba kuwa na watu wasiowataka itakuwa udikteta mwingine.
CCM Shiyanga 2016 ilifukuza 29.

CCM taifa 2017 ilifukuza wafuatao:

Sophia Simba.
Jesca Msambatavangu
Erasto Kwilasa
Ramadhani Madabida Christopher Sanya

Wengine ni:

Omari Awadhi
Ally Msuya
Makolo Laizer
Salum Madenge
Wilfred Ole Molel

Hili suala la fukuzafukuza kwy vyama linaporomosha demokrasia.

Nadhani liangaliwe upya na ikiwezekana liwekwe kwy sheria ya nchi ya kusajili vyama vya siasa badala ya sheria za vyama, km ambavyo sekta ya kazi imetengenezewa sheria namba 6 ya 2004 iliyoanza kazi 2006.

Wapo wanachama wanaofukuzwa kwa matashi ya watu tu ndani ya chama au kwa kununua wajumbe kwy vikao vya kufukuza wanachama.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Vyombo vya CHADEMA vya kushughulika na hilo jambo ni kamati kuu na baraza kuu la chama, vyote vimekwisha wakataa kwa kauli moja.

Pia CHADEMA haina shida na wao kuendelea kuwa bungeni, ambacho hawataki ni wao kujitambulisha au kutambuliwa kama wananchama wa chama hicho. Ukiwa na akili ndogo angalau za kuvukia barabara unapaswa uelewe jambo rahisi kama hili.
Kikulacho kinguoni mwako wapo watu ndani ya chama na nje ya chama ambao wanaona akina Mdee na wenzie kuwa Bungeni ni halali kabisa na kama watavuliwa ubunge basi ni aibu kwa Chadema na nchi kwa ujumla kwa kisingizio cha msamaha feki kuwa yale ya jiwe yalishapita tugange yajayo.
 
Kwa maoni ya mtandaoni na mtaani wana CHQDEMA karibia wote wameridhia na kufurahishwa kufukuzwa uanachama kwa wabunge wake wanawake 19.

Kwa upande wa CCM asilia mtandaoni, ile iliyoshikilia usukani serikalini na kwenye chama kwa sasa iko nyutro na kimya. Haionekani kujishughulisha, kutatizwa au kuhangaishwa na CDM kuwafukuza kwenye chama chao waliokuwa wanachama wake.

Wanaolalamika, waliochukizwa na kukasirishwa na uamuzi huo ni MATAGA!. Wameandika nyuzi za kila aina kuwananga CDM na hususani Mbowe kwa maamuzi hayo. Wamewashauri wabunge hao kwenda mahakamani, wanawatetea hawajatendewa haki na mwishowe wanafurahi wabunge hao kuendelea kuingia bungeni na wanatamba kwa nyuzi kwamba hakuna kitu kitabadilika, wabunge hao wataendelea kuingia bungeni CDM ipende au isipinde.

Wengine wamefikia mbali zaidi kusema CDM imefanya uamuzi wa kipumbavu na itayumba au itajifia kwa kuwafukuza wanawake hao!

Kwa nini wanaonekana kuchukizwa zaidi na kufukuzwa kwa wanachama 19 wa CDM ni kundi la watu walio katika chama kingine na sio baadhi ya wana CDM ambao labda ingekuwa ni wafuasi wao? Wana maslahi gani nao?
Paschal Njaa
 
Huwezi kukaa kwenye kundi halafu ukawa na mienendo tofauti. Wewe automatically utakuwa si wa kundi hilo.

Kimsingi wewe unakuwa ni m-mbeya, mnafiki au muasi. Unapaswa kutengwa

Back
Top Bottom