Bado Kuna reforms inabidi kufanyika haswa kwenye teuzi au chaguzi za watu wa kupewa nyadhifa Serikalini.
Teuzi zetu nchini zina-mapungufu sana na mengi.
Ukifuatilia vigezo vya teuzi hizo Huwa...
John Mnyika
Kila jimbo litataka kujifananisha na mafanikio fulani fulani.
Dhana ya ushindani na upekee imeshindikana katika mazingira ya sasa ambapo kila halmashauri inaongozwa na maelekezo ya...
Kazi ya kiongozi ni kukutengeneze mfereji (mazingira wezeshi).Kuamua kuchota maji na mikono, kijiko, ndoo au kuyatizama tu yaende ni hiari yako na hakuna atakayekulazimisha uchote, kwa kuwa hilo...
Katika pitapita zangu Mkoa wa Shinyanga nimefika kushuhudia mradi mkubwa wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kwa ujumla mradi unaenda kwa kasi ingawa baada ya kufanya mahojiano na...
Unaweza ukaamini kwamba umeme ni kwa ajili ya mwanga na ukikatika utawasha mshumaa. Sawa, lakini kutokuwa na umeme kulizuia zoezila wokozi na kuongeza idadi ya vifo.
Nilifika Ukerewe wakati wa...
Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado...
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a...
Nimeyasikikiza kwa makini Sana mahojiano maalum, aliyoyafanya mtangazaji mahiri, Salim Kikeke, wa shirika la habari la kimataifa la BBC, akimuhoji Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuhusu...
Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa.
Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na...
Wakuu,
Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
Siyo vizuri kujadili na kulumbania jambo lililoko mahakamani hivyo nitajitahidi kuweka akiba ya mambo kadha wa kadha ili kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama.
Viongozi wa CHADEMA wanapaswa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022.
Ria Samia...
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe...
TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano tarehe 18 Mei, 2022 ametembelea ofisi za Chama Cha...
Aliyewahi kuwa kiongozi wa Chadema. Nani huyo? Gazeti la Mwananchi.
=========================
Mratibu wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya-- ambaye aliachiwa...
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko leo Mei 17, 2022, ambapo waandishi wa habari wamekaribishwa kuchukua taarifa ambayo inatarajiwa kuzungumza, lakini kubwa wengi...
Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.