Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 588
- 1,698
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.