"Bashe, michoro ya kilimo iondoke katika karatasi, twende katika Utekelezaji"

Apr 24, 2011
29
542
Upatikanaji pembejeo
Teknolojia duni za Kilimo
Utekelezaji bajeti ya kilimo
Kilimo cha kutegemea Mvua
Ukosefu wa Huduma za Mikopo
Unafuu upatikanaji zana za kilimo
Uhaba wa mafunzo ya kilimo bora
Ukosefu wa masoko kwa shughuli za Kilimo

Malizeni hayo, ndiyo mwage sifa kwa Hussein Bashe kwamba anaupiga mwingi. Kilimo kinatakiwa kuondoka katika mipango na michoro juu ya karatasi nyeupe, mipango iwekwe katika Utekelezaji. Wakulima wanataka changamoto hizo zitatuliwe, siyo kuvaa kombati na kuanzisha kauli mbiu.

Pia, ambao mnasema Bashe anaupiga mwingi, mtuonyeshe matumizi ya teknolojia katika kupambana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na ukosefu wa masoko. Mnatakiwa mtuonyeshe jinsi mradi wa kilimo utakavyokuwa na mnyororo wa thamani kwa kuweza kuuza bidhaa hata nje ya nchi.

Sekta ya kilimo ya Tanzania - ambayo inachangia karibu theluthi ya Pato la Taifa la nchi na kuajiri asilimia 75 ya idadi ya watu - ina fursa ya kuongeza mapato na kuboresha maisha. Mmekubalianaje? Mnafungamanisha sekta ya kilimo na viwanda na miradi mikubwa iliyopo nchini?

Sote tunafahamu, uwekezaji wa sekta binafsi katika sekta ya kilimo unakumbana na uhaba wa mitaji, viwango vya chini vya uwezo na ujuzi wa biashara. Mnayo mikakati gani eneo hilo? Vipi, sera zinazokwamisha ukuaji, mmeziondoa? Au mmeridhika tu kauli mbiu ya Agenda 10/30?

Miongoni mwa changamoto kubwa kwa wakulima ni ukosefu wa masoko ya bidhaa zao za kilimo na mabadiliko ya tabia nchi. Ninyi wasukuma agenda za Hussein Bashe mnatakiwa kuja kwetu na mbinu zitakazokuwa na suluhisho la changamoto hizo, siyo kusema "Bashe anaupiga mwingi" tu.

MMM, Martin Maranja Masese
 
Utalima huko twita

USSR
 
Mengine umeandika sahihi kabisa,

Ila Kuna vitu ukisikiliza au kuvisoma unajua tu Siasa imeshaingia. Hivi takwimu zinasema wapi kuna watu wengi kati ya mijini vs vijijini? Na kama Mijini ndo kuna watu wengi, hiyo ya Kilimo kuajiri 75 inatoka wapi?

Nasema hata kama utahusisha na wauzaji na madalali walioko Mijini wa bidhaa za Kilimo hawawezi kufika hata 40% ya waajiriwa wote Tanzania.
 
Sekta ya kilimo ni terrible , kuleta tija inatakiwa Raisi na serikali Kwa ujumla iwekeze akili pale, Bashe peke yake hawezi , hata hvyo the man anapambana bravely...!! Bashe ni fighter
 
Umekuja huku Bwana Mdogo acha kwanza kutupiga block unapobanwa hapa hutapaweza maana uvumilivu wako ni sifuri kabisa

NDIMI MIMI BRITANICCA USIYEMPENDA
 
Umenena kwa ufasaha
Muhimu matokeo

Ngoja nizime simu umeme umekatika
 
Huyu jamaa angekuwa ni Chadema angeupiga mwingi.
AE3D4Q.jpg
 
Wabongo wakikupenda watakuimbia unaupiga mwingi hata kama unatoa maboko.
Bashe ameshawakamata nyoyo zao.
 
... Bashe atuambie ni lini taifa litakoma kuagiza maelfu ya tani za ngano, mafuta ya kula, na sukari kutoka nje. Aweke plan mezani ni lini tutaanza kuwa exporters wa vyakula hivyo badala ya kuwa importers. Shame!
 
hadi hili unaitaji majibu kwa bashe we lima alizeti kakamue mafuta ya mwaka mzima tulia
 
... Bashe atuambie ni lini taifa litakoma kuagiza maelfu ya tani za ngano, mafuta ya kula, na sukari kutoka nje. Aweke plan mezani ni lini tutaanza kuwa exporters wa vyakula hivyo badala ya kuwa importers. Shame!
Kalime wewe maana tuna pungufu ya tani 850,000
 
Back
Top Bottom