Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na...
25 Reactions
85 Replies
6K Views
Hello JF Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini...
29 Reactions
97 Replies
10K Views
Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
By Bright, Political Analyst Rais Kenyatta alipokuwa anahotubia Bunge alizungumza maneno mengi ila kwa sasa nitafanya uchambuzi kwenye maneno machache tu aliyo yatamka kuhusiana na kile...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Tabora - Koga - Mpanda (km 342.9) Sikonge, Mkoani Tabora leo tarehe 18 Mei, 2022. Rais yupo Mkoani Tabora kwa...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wote wanaohusika, Awali napenda kuipongeza Serikali kwa kuja na wazo la maombi ya kazi za Sensa kufanyika ONLINE na katika hili Urasimu umepungua Sana kutofautisha na njia iliyotumika kwenye...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ========= Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji...
16 Reactions
86 Replies
9K Views
Kwa sasa, kazi ya msingi inayofanywa na UVCCM ni kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali chini ya Mhe. Rais Mama samia. Jambo wanalofanya ni zuri kwa kuwa ni kweli kuna kazi nzuri na kubwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sasa hivi naona mnaelekea kumaliza nchi nzima kwa makongamano ya katiba mpya! Lakini sioni kama kuna tija yoyote mlipoishapita pote wala wananchi hawana Habari na katiba mpya, Mnafanya tu...
0 Reactions
5 Replies
847 Views
Wakuu, Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni, Temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo. Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Shangwe zimeibuka ndani ya Uwanja wa Azam baada ya Viongozi wa Bavicha kuingia ili kushuhudia mechi ya Ligi kuu ya NBC kati ya Azam na Simba, ambayo inapigwa hivi sasa. Wameingia wakiwa wamevalia...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri bashe Leo alikua akizungumzia kuhusu mbolea kupanda Bei. Na anakiri makampuni yanayouza mbolea yamepandisha bei kiholela, na kuamuru waliolipa pesa kubwa kununua warudi kuchukua pesa zao...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA. "Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam aleikum! Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Askofu amedai muunganiko wa UKAWA sawa na muunganiko wa walevi. Chanzo: Uhuru la leo
4 Reactions
201 Replies
31K Views
Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi. Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili...
2 Reactions
5 Replies
931 Views
Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko. Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua...
23 Reactions
72 Replies
5K Views
Back
Top Bottom