Sababu za watu kutumika ni Njaa na Maslahi binafsi

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Members, Kila wakati huwa nasema Mimi ndani ya ccm naangalia maslahi yangu binafsi, Nasoma upepo na kuchukua hatua za kuunga mkono upande unaosawazisha mambo yangu.

Tambua mkono mtupu haulambwi, Fanya kitu upate kitu, Nothing for nothing and Value for value, Unapewa tenda kwa unatoa thamani.

Watu wanaoishambulia Chadema sasa wengi wao sasa wamepata tenda serikalini, Vikampuni vyao ambavyo wakati wa JPM vililala usingizi sasa kidogo vinapata tenda, Mimi sikuwahi kuyumba na Biashara zangu pamoja na uwakilishi wangu kwani nafahamu nidunde na beat aina gani na kwa wakati upi?

Nasisitiza usituamini wanasiasa kabisa sisi wa Afrika, Familia zetu zina matatizo makubwa kuliko Nyie wananchi wa kawaida, Tuna mambo mengi ya kufanya binafsi kuliko Nyie wananchi wa kawaida.

Nasisitiza hata ukisema tuwe wabunge wa kudumu bado hatutaridhika siku mkituondoa kwa uzee kuwa hatuna nguvu bado tutafurukuta kutafuta teuzi.

Kelele zote hapa JF za kutaka Chadema ifanye ili mara lile ili kupindisha sheria na katiba ni kutokana sasa Vikampuni vyao vinashiba na kuvimbiwa.

Njaa ilikuwa kali sana kwa hawa wapiga kelele juu ya Chadema sasa, Ni rafiki zangu, Wengi tunafahamiana nje ya hapa Jukwaani, Na tuliwasaidia wakati ule wa JPM familia zao na Biashara zao zilipoyumba, Na hata sasa tunasaidiana.

Kiufupi pesa mitaani zipo na zinazunguka sana kwa wale wenye connection na vimiradi vya hapa na pale, Ni vyema wewe ambaye huna taarifa ukauliza utapataje njia sahihi za kupita, Usiniulize Mimi kwani hata Mimi ninazihitaji pesa zaidi za kuvimbiwa na wanasiasa tuna matatizo zaidi kuliko wewe mwananchi wa kawaida.

Bila kupiga kelele hakuna atakaye kusaidia, Tutajuaje tupo pamoja bila kuonyesha upande, Ukiwa mfupi Jitahidi kunyoosha mkono uonekane.

Msiwalaumu wana JF wafupi wanaojitahidi kunyoosha mkono waonekane, Nani atakulipa pesa kama hakuoni? Nani atakupa tenda kama hupigi kelele?
 
Hata Hela ya kuitisha Baraza kuu, mwenyekiti wetu alipewa na haohao,ndio maana alionana naye kabla ya kikao ili wajumbe wasimsumbue posho
 
Inasikitisha na kufurahisha kwa pamoja.
Usisikitike Bwana Mkubwa

Principle ni hii "Trust no one in your life" Usimuamini mtu yeyote Katika maisha yako

Hivi Unadhani Katika ukoo wangu Mimi mwana siasa sina ndugu wanahitaji ajira huko Serikalini kuu, Au kwenye taasisi zake huko BOT au huko TRA

Kwa ufupi simu zetu wana siasa zimejaa matatizo ya watu wakati na sisi tuna matatizo kibao kuliko mwananchi wa kawaida

Maslahi binafsi kwanza yanaanza,

Ni mahesabu ya kawaida tu hivi wewe kodi tinayokusanya si inajulikana na kila mtu au? Na inajulikana pesa kubwa inalipa mishahara watumishi au? Sasa usipojiongeza utaishi vipi mkuu?
 
Yupo huyo mmoja yeye kila siku ni kesi ya kina Mdee na Chadema tu, anatamani angekuwa wakili akawasaidie kule mahakamani.

Akiulizwa maswali anajitetea tatizo nyie mna mahaba yaliyopitiliza kwa Chadema ndio maana ukweli hamuuoni.

Anasahau kumbe naye kwa kushindwa kwake kujibu maswali ya watu vizuri ili wamuache, anaonesha vile alivyo na mahaba ya dhati kwa CCM yake, anadhani kuna watoto wakuchezea akili humu.

Anyway, kama ulivyosema mleta mada, vitenda serikalini ndio sababu za kelele zake zisizoisha humu, na vile sabasaba ndio hiyo inakaribia lazima abwatuke sana, atatumia kila njia anayopata ili wakubwa chamani wamuone.

Muhimu akumbuke, karma huwa haiwaachi wanafiki kama yeye salama, haiwezekani kodi za watanzania zinaangamizwa na wahuni huku naye akitetea uhuni.

Ushauri wangu kwake, angebadilisha heading za makala zake magazetini, kutoka kuwa "kwa maslahi ya taifa", iwe "kwa maslahi ya tumbo", naona angejitendea haki zaidi.
 
Kwahiyo wewe na yule Naniliu mnavyotoka Povu hapa huwa mmenunuliwa ?
Hata kwenye maandiko imeandikwa habari za mtu mfupi kujiongeza kwa kupanda juu ya mti ili aone

Hujasoma habari za Zakayo mtoza ushuru wewe?

Kwanini Zakayo aliamua kujiongeza na kupanda juu ya mtu ule, Lengo lilikuwa Zakayo anataka kuonekana na kweli alionekana akaitwa kwenda kushiriki mlo

Sasa wewe usipojiongeza kwa kupiga kelele nani atakusaidia wakati hawakuoni?

Nasisitiza nyoosha mkono na piga kelele ili usaidiwe

Haya maneno siyo yangu yapo kwenye kitabu cha dini, Bila kujiongeza hakuna atakaye kuona na mfano ni wa Zakayo
 
Members, Kila wakati huwa nasema Mimi ndani ya ccm naangalia maslahi yangu binafsi, Nasoma upepo na kuchukua hatua za kuunga mkono upande unaosawazisha mambo yangu

Tambua mkono mtupu haulambwi, Fanya kitu upate kitu, Nothing for nothing and Value for value, Unapewa tenda kwa unatoa thamani

Watu wanaoishambulia Chadema sasa wengi wao sasa wamepata tenda serikalini, Vikampuni vyao ambavyo wakati wa JPM vililala usingizi sasa kidogo vinapata tenda, Mimi sikuwahi kuyumba na Biashara zangu pamoja na uwakilishi wangu kwani nafahamu nidunde na beat aina gani na kwa wakati upi

Nasisitiza usituamini wanasiasa kabisa sisi wa Afrika, Familia zetu zina matatizo makubwa kuliko Nyie wananchi wa kawaida, Tuna mambo mengi ya kufanya binafsi kuliko Nyie wananchi wa kawaida

Nasisitiza hata ukisema tuwe wabunge wa kudumu bado hatutaridhika siku mkituondoa kwa uzee kuwa hatuna nguvu bado tutafurukuta kutafuta teuzi

Kelele zote hapa JF za kutaka Chadema ifanye ili mara lile ili kupindisha sheria na katiba ni kutokana sasa Vikampuni vyao vinashiba na kuvimbiwa

Njaa ilikuwa kali sana kwa hawa wapiga kelele juu ya Chadema sasa, Ni rafiki zangu, Wengi tunafahamiana nje ya hapa Jukwaani, Na tuliwasaidia wakati ule wa JPM familia zao na Biashara zao zilipoyumba, Na hata sasa tunasaidiana

Kiufupi pesa mitaani zipo na zinazunguka sana kwa wale wenye connection na vimiradi vya hapa na pale, Ni vyema wewe ambaye huna taarifa ukauliza utapataje njia sahihi za kupita, Usiniulize Mimi kwani hata Mimi ninazihitaji pesa zaidi za kuvimbiwa na wanasiasa tuna matatizo zaidi kuliko wewe mwananchi wa kawaida

Bila kupiga kelele hakuna atakaye kusaidia, Tutajuaje tupo pamoja bila kuonyesha upande, Ukiwa mfupi Jitahidi kunyoosha mkono uonekane,

Msiwalaumu wana JF wafupi wanaojitahidi kunyoosha mkono waonekane, Nani atakulipa pesa kama hakuoni? Nani atakupa tenda kama hupigi kelele?

Na wanachadema ambao muda wote wako Right? Nakuambia mimi ambaye chama changu Ni nchi, Sijawahi soma uzi ambao mwanachadema anaweza kumwambia mwenzako. Matusi hapana. Au heshima muhimu. Au mawazo ya watu yaheshimike. Nk.

Sasa unaposema njaa. Je nao hawa wanachadema wana nini shibe?
 
Wanashibe ya akili,haki na uhuru wa mawazo na kiuchumi Kwa taifa🤔
 
Yupo huyo mmoja yeye kila siku ni kesi ya kina Mdee na Chadema tu, anatamani angekuwa wakili akawasaidie kule mahakamani.

Akiulizwa maswali anajitetea tatizo nyie mna mahaba yaliyopitiliza kwa Chadema ndio maana ukweli hamuuoni.

Anasahau kumbe naye kwa kushindwa kwake kujibu maswali ya watu vizuri ili wamuache, anaonesha vile alivyo na mahaba ya dhati kwa CCM yake, anadhani kuna watoto wakuchezea akili humu.

Anyway, kama ulivyosema mleta mada, vitenda serikalini ndio sababu za kelele zake zisizoisha humu, na vile sabasaba ndio hiyo inakaribia lazima abwatuke sana, atatumia kila njia anayopata ili wakubwa chamani wamuone.

Muhimu akumbuke, karma huwa haiwaachi wanafiki kama yeye salama, haiwezekani kodi za watanzania zinaangamizwa na wahuni huku naye akitetea uhuni.

Ushauri wangu kwake, angebadilisha heading za makala zake magazetini, kutoka kuwa "kwa maslahi ya taifa", iwe "kwa maslahi ya tumbo", naona angejitendea haki zaidi.
Dah!...kweli 'trust no one but yourself'....huyo jamaa kumbe yupo kazini ?
 
Back
Top Bottom