Kuna haja gani kuwa na siasa za kisanii huku wananchi wanamatatizo ya maji, afya elimu na miundombinu?
Inasaidia nini kuwa karibu na wananasiasa ambao wataonyesha kuwa mna mahusiano nao mazuri...
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji...
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili...
Amani ya Mungu ipitayo amani zote iwe nanyi wapendwa,
Naomba kujuzwa zinakopatikana ofisi za chama cha Umoja (Umoja Party)
Ninawiwa kushirikiana nao kusukuma mbele gurudumu la kuzijenga upya...
Hebu soma maagizo hayo hapo chini
Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu.
Kazi hii ya kuandika no...
Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi!
Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema...
Huu ni wakati Chadema na hasa Mbowe wanatakiwa kuwa makini sana sana na kinachoendelea ndani ya chama chao.
Changamoto zake hazisababishwi na CCM bali na sauti za ndani zinazoongezeka kutilia...
Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta...
Kwa mara ya mwisho nyongeza ya kima cha chini kwa pensheni za wastaafu ilitekelezwa july mwaka 2015 kwa agizo la Waziri Wa Fedha Mh. Saada Mkuya kutoka ths.50,000/= hadi tsh.100,000/=.
Kwa...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba...
Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla...
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama...
Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na...
Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda...
Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya.
Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa...
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .
Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka
Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine...
Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi.
Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake...
RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag...
Prof Assad alitumika kimkakati kuidhoofisha serikali ya Rais Magufuli hakuwa mzalendo kama ambavyo wengi waliaminishwa. Juma Assad (Personal) aliamua kukitumia kitu chake cha kuwa CAG Katika...