Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,489
2,000
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana.

Ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize Prof Safari alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. Prof Assad alikuwa anasukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo.

Tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za Afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. Huyu prof aliendeshwa na miheko zaidi kuliko uhalisia.
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,330
2,000
wengi wuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
unamshtumu mtu lkn huweki ushahidi wowote kusapoti hoja yako mkuu
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
3,903
2,000
Mtu mwenye High IQ hawezi kujisifu hata siku moja, bali huacha kupitia kazi yake watu wamsifu, hivyo mimi kwangu sijaona chochote kwa huyu ,,Profesa“ usisahau kwamba neno Prof. Tanzania liko misused sana, wengi wao wanaojiita Prof. hawawezi kupata chair yoyote popote pale Duniani ya kufanya research ya maana, ni kisiasa zaidi.
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,930
2,000
wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Hata Lisu alituambia tutashitakiwa MIGA .Kufupi elimu ya Tanzania ni uongo mtupu
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,519
2,000
wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Unaendeshwa na mihemko zaidi!
Mtu makini hujenga hoja na wala si kufanya personal attack dhidi ya mtu.
Hayo mambo uliyogundua mbona hujayaleta hapa jukwaani?
Ndugu, acha hii malicious gossip.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,445
2,000
unamshtumu mtu lkn huweki ushahidi wowote kusapoti hoja yako mkuu
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,445
2,000
Unaendeshwa na mihemko zaidi!
Mtu makini hujenga hoja na wala si kufanya personal attack dhidi ya mtu.
Hayo mambo uliyogundua mbona hujayaleta hapa jukwaani?
Ndugu, acha hii malicious gossip.

wala hauhitaji mihemko kujua jamaa ni zero brain, ni ajabu sana mtu anapokea ushauri kutoka kwa kiumbe ambae hajui biashara, hana biashara inaojulikana, hana familia yenye background ya biashara, na wala hajawahi soma biashara! Lakini unapokea ushauri kutoka kwake , ndo yale tunasema mjinga na mjinga wanapokea ushauri
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,445
2,000
Weka data acha kubwabwaja. wakati nyinyi mnaimba mapambio ya kumsifu bwna wenu Prof. ndiye mashine iliyomdindia Magu na bunge zima

ukasome izo kwanza
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,761
2,000
wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Sisi tuna mheshimu sn ila siyo smart kwako
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
40,579
2,000
wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Agopa sana kitu kinachoitwa karma. Kujaribu kumshusha mtu brilliant na smart kama Prof. Mussa Assad, kwa hoja muflis za uongo, there is a price to pay!. Prof Assad ni very smart. Msikilize hapa hoja kwa hoja
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom