Wassira: Hayati Magufuli hakuwa mjinga kuzuia mikutano ya kisiasa alijua vizuri historia ya Chadema ya kutaka nchi isitawalike!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu.

Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na hayati Magufuli hakuwa tayari kulea upuuzi huo.

Nasisitiza Magufuli hakuwa mjinga, amesema mzee Wassira.mbele ya Zitto Kabwe wa ACT wazalendo

Source: TBC
 
Umri wa wasira akili imedumaa, na nina hofu akili yake inaweza kuwa sawasawa na sura yake
 
Hii nayo ni habari?
 
Nitoke vipi? - Bwana Misosi
 
Alipokwenda NCCR alidhamiria nini? Alipomtukana Mzee Warioba, wakati wa kampeni za uchaguzi 1995 na kwa matusi yake akawa mbunge wa Bunda kupitia nccr.Mzee Warioba akapinga matokeo mahakamani na Mahakama ikamkuta na hatia ya kutumia lugha chafu na akavuliwa ubunge. Sijui anatuambiaje? Alifundishwa na Chadema?
 
Acha roho mbaya na chuki hii nchi ni ya wote sisi sote ni watanzania awe chadema ama CCM muache Rais afanye kazi yake nzuri iliyotukuka ya kuondoa chuki Kama zako
 
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu.

Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na hayati Magufuli hakuwa tayari kulea upuuzi huo.

Nasisitiza Magufuli hakuwa mjinga, amesema mzee Wassira.mbele ya Zitto Kabwe wa ACT wazalendo

Source: TBC
Stupid Wasira amtafute Bulaya ndiye kiboko yake kima
 
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu.

Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na hayati Magufuli hakuwa tayari kulea upuuzi huo.

Nasisitiza Magufuli hakuwa mjinga, amesema mzee Wassira.mbele ya Zitto Kabwe wa ACT wazalendo

Source: TBC
Ujinga wa wana ccm.
 
Akiwazacho mjinga ndiyo humuumba awe.Hivi kuna kiumbe anayependa "miugomvi" na uongouongo kama Wassira?
cc: Esther Bulaya.
 
Umri wa wasira akili imedumaa, na nina hofu akili yake inaweza kuwa sawasawa na sura yake
Wewe uliyechagua kuumbwa na sura nzuri una bahati Sana! Consciousness huwa haijui unaandika ukiwa nyuma ya fake Id au pembeni mwa barabara...majibu huwa yanarudi kwako vile vile ulivyotuma kwa mwenzako!
 
Huyu huyu Wasira ndiye alisema watanzania wamepumua kufuatia kifo cha Magufuli.

Itakuwa umemlisha maneno.
 
Mzee Wassira amesema yeye na mstaafu Kikwete walitia akili ya ziada kuwashawishi Chadema kuachana na siasa za vurugu.

Ikumbukwe kuwa sera iliyojificha ya Chadema ni kufanya nchi isitawalike na hayati Magufuli hakuwa tayari kulea upuuzi huo.

Nasisitiza Magufuli hakuwa mjinga, amesema mzee Wassira.mbele ya Zitto Kabwe wa ACT wazalendo

Source: TBC
Mzee wasira ni mnafiki tu. Nilikutana nae magufuli akiwa hai. Alisema vibaya.
Zitto unatumikia vibaya
 
Back
Top Bottom