Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.
Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita...
Ni AIBU kwa walikuwa Wanachochea UHASAMA na CHUKI kwa WATANZANIA kupitia CCM na CHADEMA.
Hakika RAIS SAMIA na Mh. MBOWE "LEGACY" ya Kutafuta MARIDHIANO itakumbukwa na VIZAZI Vilivyopo na VIJAVYO...
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu?
Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani?
Juzi tukiwa ofisini...
Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi...
Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa.
Sasa hivi naona watanzania...
Kwako Mhe Raisi
Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba.
Hakuna sababu ya kupoteza...
Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka...
Nilipomuona komredi Kinana tu kwenye kile kikao nikajua Chadema keisha habari yao.
Vikao kama vile bila Tundu Lissu ni sawa na Ufipa kutwanga maji kwenye kinu.
Mungu ni mwema!
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili...
Heshima kwenu wakuu,
Leo wakati rais Magufuli akipokea ripoti ya Uchunguzi wa Madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na Bunge, ameataka wateule wake wote waliotajwa kwenye hiyo report wakae...
UVCCM_ TAIFA
MEI 22, 2022
PICHA NA MATUKIO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akizungumza na Mjumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa...
Katibu mkuu wa CCM amesema chama chake kitawachunguza wakuu wa mikoa na wilaya kwa vitendo vyao vya kukaa kimya bila kuisifia awamu ya 6 kama walivyofanya wakati wa utawala wa hayati magufuli wa...
Kama mtu.anaweza.kudeliver kwanini asiteuliwe?
Umri ni namba tu
Vijana akina Sabaya, Nassari, Makonda, Silinde, Kigwangalla, Waitara, Katambi nk.... nk wamewahi kufanya maajabu gani?
Hapa Jf...
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with...
Nashauri upatikanaji wa Wabunge wa EALA Tz tuzingatie umakini, haki na weledi.
Tukiendekeza tabia za wajumbe tumepata hasara.
Sasa hivi desturi ya dunia hii ni kunyang'anyana fursa.
Kama...
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.
Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.