Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?

Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
 
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?

Mama Samia atashinda saa mbili asubuhi.
 
Lissu ni bora aendelee na siasa zake za kiharakati tu, nafasi ya uraisi amuachie F.A.Mbowe. Watanzania hawapendi udikteta dikteta wanapenda mtu kama Mbowe ambaye unaweza kumshauri jambo na akashaurika.
Aliyekwambia mbowe sio dikteta ni nani?
 
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?

Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Acheni upopoma, Samia anajua fika kwa uchaguzi huru na haki, ata 40% hapati, Lissu bila bango, bila msanii, bila coverage kwenye media, bado alimkimbiza vibaya Sana JPM
 
Mama Samia atampa Lissu ahadi ya cheo na pesa kadhaa....Game over, Ikulu njia whiteeee, Mwenye pesa kushindana na kabwela ni uzembe...mpe pesa akae pembeni
 
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?

Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Sasa Lisu kweli nani atamchagua? Yaani kwa Sasa Bora Mbowe kuliko Lisu
 
Back
Top Bottom