Rais Samia amuapisha Mwalimu wake wa Sekondari Bi Khadija kuwa Kamishina wa Tume ya utumishi wa umma

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Kudos! Rais Samia
Much appreciation to our teachers

Rais Samia amuapisha Bi Khadija kuwa kamishina wa utumishi wa uma

Bi Khadija amemfundisha Rais Samia somo la hesabu na Kiingereza akiwa Kidato Cha pili Sekondari

Hongera Rais Samia kwa kukumbuka ulikotoka, Wengi wetu baada ya kupata elimu na Madaraka tunawasahau walimu wetu waliotusaidia na kufika hapa tulipo

Rais Samia Leo umeonyesha mwanga mkubwa sana

Walimu wetu ni hazina sana ingawa umri Unazidi kuwatupa

Hapa Nimeanza kuwakusanya Rafiki zangu wa shule ya msingi ili tuanzishe tuzo kwa vijana Wanaofanya vizuri Katika shule yetu ya msingi tuliosoma miaka ile

I love so much my primary and Secondary teachers
 
Nakusaidia picha

Screenshot_20220521-141637_1653132415169.jpg
 
Nimeipenda sana hii, Kuna wakati huwa nawakumbuka sana walimu wangu wa Primary School

Tulicheza mpira na kuimba nao sana

Kuna wakati tunalala usingizi darasa zima anabaki mwalimu peke yake

Walimu wa darasa la awali na la kwanza hakika mnahitaji pongezi sana

Mnatushika mkono ili tuweze kuandika herufi a, b, c, d, e

Unaweza ona ni jambo dogo Rais alilofanya lakini ni kubwa sana sana

Napata faraja sana niwaonapo walimu wangu wa shule ya msingi hasa wale waliokuwa wanatufundisha nyimbo na kucheza nasi

It was a great moment sana sana in those days na walimu wetu

Ahaaa unaenda shule darasa la Kwanza unashangaa shangaa tu kila kitu hujui muda wa kuingia wala muda wa kutoka

Walimu wetu wa darasa la kwanza mnafanya kazi kubwa sana

Hongera sana sana Rais Samia kwa kukumbuka mwalimu wako najua wale wa msingi watakuwa wengi wametangulia
 
Kudos! Rais Samia
Much appreciation to our teachers

Rais Samia amuapisha Bi Khadija kuwa kamishina wa utumishi wa uma

Bi Khadija amemfundisha Rais Samia somo la hesabu na Kiingereza akiwa Kidato Cha pili Sekondari

Hongera Rais Samia kwa kukumbuka ulikotoka, Wengi wetu baada ya kupata elimu na Madaraka tunawasahau walimu wetu waliotusaidia na kufika hapa tulipo

Rais Samia Leo umeonyesha mwanga mkubwa sana

Walimu wetu ni hazina sana ingawa umri Unazidi kuwatupa

Hapa Nimeanza kuwakusanya Rafiki zangu wa shule ya msingi ili tuanzishe tuzo kwa vijana Wanaofanya vizuri Katika shule yetu ya msingi tuliosoma miaka ile

I love so much my primary and Scondary teachers
Bibi kashastaafu zamani,bado anamrudisha tena kazini.Huu ni ubaguzi wa wazi wazi.

Kila mtu akitoa fadhila kwa watu wake unajenga taifa gani?

Bila connection nchi hii hutoboi.
 
Bibi kashastaafu zamani,bado anamrudisha tena kazini.Huu ni ubaguzi wa wazi wazi.

Kila mtu akitoa fadhila kwa watu wake unajenga taifa gani?

Bila connection nchi hii hutoboi.
Kutoboa kuelea wapi mkuu mbele au nyuma?

Elezea wewe unatoboa kuelekea wapi tukupe ushauri?

Unapotoboa usitumie nguvu kubwa sana huta weza kufanikiwa kiongozi

Mkuu kwani Unapotoboa huwa unaangalia sura au uso maana sijaelewa neno ubaguzi unalitoa wapi?
 
Kama alimfundisha Samia si atakuwa ni mtu mzima sana alipaswa awe nje ya system apishe damu changa?

Au huoni kama ni tatizo?
Kuna kosa gani wewe kumtafutia Baba yako mzazi wa miaka zaidi ya 60 awe na kuku wengi nyumbani anafuga?

Huoni ni zoezi tosha kwa mtu mzima, Akikaa tu si atachoka zaidi?

Mpe week huyo Bibi utashangaa ataanza kuwa active zaidi ya vijana aliowakuta ofisini kwake

Damu changa ni miaka mingapi?

Damu changa ndio Nyie Panya Road na Panya Buku

Unataka damu changa Panya Road ndio wakamate ofisi?
 
Najiuliza mwalimu aliyekufundisha Form Two angalau mnapishana miaka isiyopungua 7....

Sasa ikiwa mwalimu wake ina maana atakuwa na around 70 YRS....

sasa hapo si ameshafikia ukomo???
Mbona mwanafunzi kazeeka kuliko mwalimu?? Walimu huwa wanakula nn??
 
Mnajua majukum ya hao makamishina lakn au mnabwabwaja tu hapa? Makamishna wa tume ya utumish n Majaji wastaafu walimu wastaafu ma hr wastaafu na wabobez katika utumish wanaokaa na kusolv matatizo ya watumish na waajir wao yaliotolewa maamuz bila kufata utaratibu huska au kutendewa hak ndio mana hutumika watumish kama hawa ambao walshakuepo kwenye systm na kukutana na kila aina ya matatizo ya watumish kwa kada tofaut tofaut.. subir yakukute ww kama mtumish wa uma utajua umuhimu wa hawa watu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza mwalimu aliyekufundisha Form Two angalau mnapishana miaka isiyopungua 7....

Sasa ikiwa mwalimu wake ina maana atakuwa na around 70 YRS....

sasa hapo si ameshafikia ukomo???
Vijana wakae kwa kutulia kuhusu ajira. Kama mwalimu wa Samia anateuliwa kupewa ofisi 2022!!!!!?
 
mnajua majukum ya hao makamishina lakn au mnabwabwaja tu apa? Makamishna wa tume ya utumish n Majaji wastaafu walimu wastaafu ma hr wastaafu na wabobez katika utumish wanaokaa na kusolv matatizo ya watumish na waajir wao yaliotolewa maamuz bila kufata utaratibu huska au kutendewa hak ndio mana hutumika watumish kama hawa ambao walshakuepo kwenye systm na kukutana na kila aina ya matatizo ya watumish kwa kada tofaut tofaut.. subir yakukute ww kama mtumish wa uma utajua umuhimu wa hawa watu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
The same applies kwa Wajumbe wa Bodi, wanatakiwa kuwa waliokuwa wabobezi si kuweka junior staff
 
Back
Top Bottom