Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.

Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu.

Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na maneno maneno tu lakini serikali haina msaada wa namna yoyote kwa wananchi.

Halafu watu wanaconspire kipuuzi na kuwaona raia wajinga na mafala!

Kwa nini hakuna jitihada za kuwaondoa hawa wanaodharau wananchi?

Hivi vyama vyote vilivyopo havifai. Tupate chama chenye nia thabiti kuwakomboa watanzania.
 
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.

Taifa linarasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu.

Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na maneno maneno tu lakini serikali haina msaada wa namna yoyote kwa wananchi.

Halafu watu wanaconspire kipuuzi na kuwaona raia wajinga na mafala!

Kwa nini hakuna jitihada za kuwaondoa hawa wanaodharau wananchi?

Hivi vyama vyote vilivyopo havifai. Tupate chama chenye nia thaboti kuwakomboa watanzania.

Ndio mjifunze wakati wa uchaguzi msiendekeze ushabiki wa kijinga. CHADEMA walipopinga uchaguzi na kutaka maandamano mliwatukana na kuwakebehi, Leo ndio mnaona umuhimu wao.
 
Ndio mjifunze wakati wa uchaguzi msiendekeze ushabiki wa kijinga. CHADEMA walipopinga uchaguzi na kutaka maandamano mliwatukana na kuwakebehi, Leo ndio mnaona umuhimu wao.
Tokea lini matapeli wakawa na umuhimu?
 
Ndio mjifunze wakati wa uchaguzi msiendekeze ushabiki wa kijinga. CHADEMA walipopinga uchaguzi na kutaka maandamano mliwatukana na kuwakebehi, Leo ndio mnaona umuhimu wao.
Chadema ni majambazi makubwa yaliyojifichia kwenye uanaharakati wa kutetea matumbo yao!

Utukome kututajia chama kisicho na vigezo
 
Tokea lini matapeli wakawa na umuhimu?

Chadema walikutapeli Nini? Maana hawajahi kuongoza nchi. Tatizo lako unachuki na CHADEMA ambayo imekupofusha mpaka anayestahili kulaumiwa unamuacha na kubaki kuilaumu CHADEMA.

Kura uipigie CCM lakini lawama za Maisha magumu uibebeshe CHADEMA. Endelea kuichagua CCM ili uikomoe chadema na CCM itakukomoa wewe. Na bado Maisha magumu yanakuja mpaka utakimbia nchi.
 
Back
Top Bottom