Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
21 April 2022
Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania

MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE

Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148 shopping mall , shule kindergarten mpaka high school.

Mradi huu ungekamilika ungekuwa mradi mkubwa wa pili wa nyumba barani Afrika baada ya ule wa kule nchini Nigeria.

Juhudi zilifanyika kuufufua au kuuziwa kwa mwekezaji mwingine au kupatikana mbia mpya, Lakini bahati mbaya haujafanikiwa kufufuliwa . Ni matumaini kwa wasomaji na walioutazama mradi huu kuwa ipo siku watajitokeza watu au wawekezaji wengine wakaweza kuuendeleza ili ukamilike na kuanza kutumika kama ulivyowaziwa na waanzilishi wa mradi huu.

EXPLORING THE WORLD'S MOST LUXURIOUS ABANDONED CITY IN DAR ES SALAAM.

Before abandoned Dege Eco village was designed to be a satellite township of Dar es salaam, being built on an area covering 300 acres at Kigamboni. A mixed use residential project addressing all segments of society, from high end to medium, as well as those who need affordable housing.
Source: Menny Terry

MK254
 
24 April 2022

Changamoto za miradi mikubwa ya Tanzania tunaweza kujifunza yanayotokea Dubai

Money doesn't grow on trees: DUBAI is BEING SINKED in the DESERT

The city of Dubai could be considered as a mirage, an unreal place designed as a Western-style theme park, so that visitors can tour a city that shouldn’t exist, created from scratch, and in which the visit itself is something like a mirage in which there’s nothing else to see except the things so great that humanity can build to be visited. Skyscrapers, immense avenues, luxury shopping centers and developments of dubious usefulness and high standing that are half inhabited where no one stays. The speed at which this infrastructure has been built, with super hotels or emblematic buildings such as the Burj Khalifa, which basically sought to create a model of economy and society outside the petrodollar, has been a challenge of impressive infrastructures, but as a good public setting, the part of the back room and its digestion are the real problems of an unreal place, which exists based on a lot of effort and that perhaps time will end up deconstructing it just as it was built. This fable of the papier-mâché fortress can also be transferred not only to the land of absurd infrastructures, of which we in Spain know for a while, but also to the impossibility of being able to build a future with money alone.
Source : JF CALERO - En un cascaròn de nuez
 
21 April 2022
Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania

MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE

Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148 shopping mall , shule kindergarten mpaka high school.

Mradi huu ungekamilika ungekuwa mradi mkubwa wa pili wa nyumba barani Afrika baada ya ule wa kule nchini Nigeria.

Juhudi zilifanyika kuufufua au kuuziwa kwa mwekezaji mwingine au kupatikana mbia mpya, Lakini bahati mbaya haujafanikiwa kufufuliwa . Ni matumaini kwa wasomaji na walioutazama mradi huu kuwa ipo siku watajitokeza watu au wawekezaji wengine wakaweza kuuendeleza ili ukamilike na kuanza kutumika kama ulivyowaziwa na waanzilishi wa mradi huu.

EXPLORING THE WORLD'S MOST LUXURIOUS ABANDONED CITY IN DAR ES SALAAM.

Before abandoned Dege Eco village was designed to be a satellite township of Dar es salaam, being built on an area covering 300 acres at Kigamboni. A mixed use residential project addressing all segments of society, from high end to medium, as well as those who need affordable housing.
Source: Menny Terry

MK254

Huo mradi utadhani uko DRC kumbe ni hapa hapa Tanzania
 
Tanzania haimalizagi Mambo
Katiba Mpya
Vitambulisho vya Taifa
Mradi wa Dege wa NSSF
N.K

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mradi jijini Dar es Salaam

Mradi huu na wa Kigamboni yote ni ya Ridhiwani Kikwete na ndiyo maana Magufuli aliipiga stop kutokana na wizi aliokuwa anaufanya dogo na baba yake ambaye hivi sasa karudi madarakani tena kupitia mlango wa nyuma. Shortly, watairudia hii miradi it's just a matter of time tu.
 
Hapana, alikuwa muungwana mno sema tu wewe kilaza ndiyo ulikuwa hujuwi thamani yake. Hii ni miradi ya upigaji ya Ridhiwani Kikwete na baba yake na ndiyo maana walikuwa hawampendi Magufuli. Hapa angefaidika Kikwete tu na familia yake, wewe usingefaidika na lolote lile. Upo hapo?
Kwahiyo saivi anafaidika nani
 
Jiwe lilikuwa na roho ya Kimaskini Sana.

JUHUDI ZA SERIKALI KUUPIGA MNADA MRADI HUU ZILISHINDIKANA, LABDA WAJE NA MKAKATI MPYA KUUNUSURU MRADI

20 September 2017

Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' na kusimama ujenzi wake mwaka 2016 unapigwa mnada. Kuliripotiwa kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo na sasa anatafutwa Mwekezaji atakaeuchukua.

Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom