Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Jana Prof Sospeter Muhongo amechangia Kwenye Bajeti ya Nishati na kutoa ushauri ufuatao: (1) Ukuaji wa uchumi wetu uendae na upatikanaji wa umeme mwingi na wa bei nafuu GDP/Capita: *US$...
3 Reactions
4 Replies
864 Views
Wale wanaopinga katiba mpya huwa wana hoja hizi; 1. Katiba Mpya ni gharama kubwa sana. Tufafanulienei ni gharama kiasi gani? 2. Katiba mpya haitaleta pesa mfukoni au chakula mezani. Katiba ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIELEWEKE HIVYO HIVYO. Na Thadei Ole Mushi. 1. Tukubaliane sasa kuwa tumwache apumzike. 2. Ni mwanzilishi wa Mashambulizi kwa waliomtangulia. 3. Kuna faida za kuachana naye sasa na kuangalia...
15 Reactions
63 Replies
4K Views
Ni zaidi ya mwaka sasa tokea Magufuli atwaliwe Mungu wa mbinguni lakini Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema Lissu, Lema na Wenje hawana dalili za kurejea nyumbani Ikumbukwe Wenje na Lema ni marafiki...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani...
1 Reactions
6 Replies
759 Views
Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na...
21 Reactions
69 Replies
3K Views
Tuzo ya Babacar Ndiaye hutolewa na AFDB kwa mkuu wa nchi ambaye Serikali yake imefanya vizuri katika ujenzi wa Miundombinu. Rais Samia na Serikali ya Awamu ya 6 anayoiongoza ndio washindi wa...
17 Reactions
136 Replies
8K Views
Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania. Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema...
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Awamu ya sita baada ya kuingia madaraka iliagiza TRA kuacha kufunga biashara za wafanyabiashara ambao wanadaiwa kodi na badala yake watumie njia laini katika ukusanyaji kodi. Kinyume chake...
1 Reactions
2 Replies
609 Views
Thread 'Ole Sabaya hali tete. Aandaliwa Mashitaka mapya, Ushahidi Nje nje' Ole Sabaya hali tete. Aandaliwa Mashitaka mapya, Ushahidi Nje nje
7 Reactions
80 Replies
8K Views
Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Kikosi kazi kitatumia muda gani kukamalisha kazi yake? Kina muda maalum au ni cha kudumu mpaka Rais atakapomaliza muda wake? 2. Wadau wa kikosi kazi wanalipwa kila wanapokutana au kila mwezi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali ya Uswisi inatarajia kutoa zaidi ya bilioni 20 kwa ajili ya kuendelea kuimarisha maeneo ujuzi, ajira pamoja na vyuo vya ufundi nchini. Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Waziri wa...
2 Reactions
7 Replies
680 Views
Wanabodi, Nilikuwa naangalia TV, nikaipenda hii nukuu. "Tusitumie Kunyenyeza na Kutetema", Ila "Kama Kunyenyeza na Kutetema Kunasaidia, Tutumie..." mwisho wa kunukuu. Baadae nitakurudia...
1 Reactions
2 Replies
625 Views
Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bi. Frida Kaaya na Mwenezi wa CCM Wilaya ya Mufindi, Bwana Dickson Villa wanakivuruga Chama Mufindi kutokana na mahusiano ya kimapenzi waliyo nayo wawili hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom