Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAELEKEZO 8 YA RC KAFULILA KWENYE MEI MOSI SIMIYU, ILIYOFANYIKA KIMKOA WILAYANI MEATU LEO 01|05|2022 1. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani ambazo zina sheria zinazolinda haki ya...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema baadhi yenu au wengi wenu hamna tofauti kubwa kwenye masuala ya kimataifa, mnakubaliana mengi. Ushauri wangu huu unakuja baada ya kuona ujumbe wa ombi la msaada wa nauli kwa...
4 Reactions
15 Replies
983 Views
Kauli aliyoitoa Dr Slaa wakati wa vuguvugu la kampeni za kisiasa kwamba mfuko wa sement utakuwa Tshs 5,000, badala ya Tshs16,500 kwa sasa kwa wakazi wa DSM na zaidi ya Tshs18,000 kwa wakazi wa nje...
69 Reactions
354 Replies
41K Views
MAPOKEZI YA SHAKA USIPIME RUANGWA...KILA KONA WANACCM RAHA JUU YA RAHA. Na Mwandishi Wetu, Ruangwa KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na mamia...
1 Reactions
7 Replies
928 Views
Nduguzangu wanachadema, Mkumbuke kila mtu amewekeza Nguvu ya namna yoyote kuunda CDM. Na wengine mmeenda mbali na Kuuimarisha Upinzani, Lazima Tuongelee Chama. Viongozi Wetu Wamekuwa na Maamuzi...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni...
3 Reactions
9 Replies
940 Views
Mtume Mwamposya amesema uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri nao Viongozi wa Dini kwa Umoja wao wanamuunga mkono na wako pamoja naye wakati wote Chanzo: TBC
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills. Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weakness, hatutakiwi kuwa emotional. Ni kweli wakati mwingine subordinates...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kongamano kubwa la Katiba Mpya litarindimishwa kwenye Jimbo la Chato, Mkoani Geita Jumanne ya tarehe 31/05/2022. Waandaaji ni wale wale wa siku zote CHADEMA...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakati Balozi Semfue akitaka rais asipunguziwe madaraka katika katiba mpya, mtoto wa mkulima Mh. Pinda amesema rais ana madaraka makubwa sana na ni vema akapunguziwa madaraka hayo. Pia ameshauri...
2 Reactions
129 Replies
17K Views
Ndugu Nape Nnauye, ACHENI kuwaghasi watanzania MASKINI. Gharama za kuweka VIBAO na NGUZO za anuani za MAKAZI zinapaswa kuwa za WIZARA ambayo wewe ndiye waziri hapo. Hizi porojo za kuwachangisha...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Chonde chonde tunaiomba kikosi kazi cha Mhe. Rais kinachokusanya maoni ya katiba mpya ipite kwenye Wilaya zote na ratiba iwekwe kwenye magazeti na matangazo kupitia vyombo vya habari. Mhe. Rais...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Televisheni ya Taifa imekata matangazo ya Bunge la Bajeti na sasa wanarusha kongamano la viongozi wa dini kumuombea na kumpongeza Rais Samia kwa uongozi bora linalofanyika ukumbi wa mikutano wa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Changamoto katika uandishi, mawasiliano na lugha ya Kiswahili zinatarajia kupata mwarobaini kufuatia Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (Chalufakita) kuwakutanisha wadau wa ndani na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mada tajwa hapo juu yahusika. Pamoja na CCM kuwa inatumia demokrasia kwenye changuzi zake, huko Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro hali ni tofauti kidogo. Aliyekuwa Katibu mwenzi wa CCM wa Jimbo la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo 20 yaliyoachwa kwenye rasimu ya katiba - By PolePole MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO. Katiba...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Wadau mimi najua humu kuna akili kubwa nyingi sana na ndio maana naamini comments zenu zitanisaidia. Nimesukumwa sana kuingia kwenye siasa na mpaka Sasa nipo kwenye siasa lakini lengo langu 2025...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom